lembu
JF-Expert Member
- Dec 31, 2009
- 19,696
- 25,911
Hawa hapa chini wachapwe viboko 12 tena za matakoni na mbele ya girlfirends zaoKwa mfano nani achapwe viboko? Mi naona wachezaji karibia wote uwezo wao ndio umeishia hapo.
Kuwachapa viboko Kante, Jog, Azip, cheek, Pulisic, Alonso ni kuwaonea
Tunahitaji wachezaji wengine wenye ubunifu/uwezo mkubwa + Energy zaidi ya hawa tulionao.
Odoi, Werner, Pulisic, Havertz, Ziyech, hao akina Jorginho auzwe au asepe, Kante tunamuhitaji hata asipocheza, azeekee Chelsea
Cheek bado hajatumiwa sana japo mimi ningelia na hao wa idara ya kule mbele kabisa ambao ndio nimewataja
Mount Anajitahidi asichapwe