lembu
JF-Expert Member
- Dec 31, 2009
- 19,705
- 25,949
Labda kwa sababu ni wa bure ila sioni perisic ktk umri wake wa 33yrs akideliver zaidi ya Alonso mwenye 31yrsKama ni kweli itakua mbadala mzuri wa AlonsoView attachment 2223044
Labda kwa sababu ni wa bure ila sioni perisic ktk umri wake wa 33yrs akideliver zaidi ya Alonso mwenye 31yrsKama ni kweli itakua mbadala mzuri wa AlonsoView attachment 2223044
Tuchel mwenyew ndo anamtaka alafu jamaa mshahara wake atakua anachukua 90k kwa week mimi naona ni biashara nzuriLabda kwa sababu ni wa bure ila sioni perisic ktk umri wake wa 33yrs akideliver zaidi ya Alonso mwenye 31yrs
Perisic ni wingerKama ni kweli itakua mbadala mzuri wa AlonsoView attachment 2223044
Itategemea na aina ya wachezaji atakaotaka kuwasajiliSWALI:- Kuelekea kukamilisha msimu huu 21/22. Mmeuonaje mfumo wa TT 3-4-2-1/3-4-3?
Kwamba TT msimu ujao aendelee na huo mfumo au abadilishe mfumo?
Naipenda hiyo aproach, mchezaji hachezi kwa presure kubwa kama Lukaku, paundi mil 100, matarajio makubwa sana hadi jamaa kaflotiIshu ya usajili bado mfu kwetu. Tusibirie hiyo tarehe 31 boss TODDY BOEHLY atakapokamilisha taratibu za kuinunua THE BLUES rasmi.
Tunavyoongea mpaka sasa TODDY amesign mikataba ya awali ngazi ya club na bado mikataba ya kiserikali.
Baada ya kukamilisha utaratibu wa kuinunua THE BLUES nadhani ndio atakaa na uongozi wa club + kocha (Malengo + Mahitaji), naye bosi atoe maono yake kuhusu harakati za usajili.
Ikumbukwe TODDY amesema style yake ya usajili itakuwa kama Liverpool (scouting ya hali ya juu + Sajili za kimkakati + Ada za kawaida + vipaji vikubwa = World class players)
Pia anaweza cheza kama lwbPerisic ni winger
Hata Kane, Mane hawapo, nafikiri kuna vigezo stricly zaidi ya ufungajiBukayo Saka 2021/22 Stats Epl.
Michezo 36 [emoji837]
Mabao 11
Assist 6
Mason Mount 2021/22 Stats Epl.
Michezo 31 [emoji838]
Mabao 11
Assist 10
Bukayo yuko kwenye tuzo za mchezaji bora wa msimu "EPL" Mason Mount hayupo [emoji848] View attachment 2223087
Anacheza nafasi zote za mbele kwa upande wa kushoto na katikati -LW, striker wa pili kwenye 442, 4312, 3412 nk, kama CAM na nafasi zingine za kushambuliaPerisic ni winger
Yeah sio mbaya kwakuwa n free agent ...kama akija ataongeza experience na uongozi kwenye timu...Afu jamaa upgrade nzuri ya Alonso ana Kasi , ni ball dancer mzuri, na ana mwaga maji balaa....shida Labda niulize Chelsea si wamesimamishwa sahv au kunegotiate na wachezaji inaruhusiwa?Kama ni kweli itakua mbadala mzuri wa AlonsoView attachment 2223044
Inter Milan pia anachezeshwa km left wingback kwenye 3-5-2Perisic ni winger
But hazuwiliwi kufanya talks na kufikia verbal agreement,Yeah sio mbaya kwakuwa n free agent ...kama akija ataongeza experience na uongozi kwenye timu...Afu jamaa upgrade nzuri ya Alonso ana Kasi , ni ball dancer mzuri, na ana mwaga maji balaa....shida Labda niulize Chelsea si wamesimamishwa sahv au kunegotiate na wachezaji inaruhusiwa?
Naomba mfuatilie vizuri Perisic hana umama mama wa Alonso huyu.Labda kwa sababu ni wa bure ila sioni perisic ktk umri wake wa 33yrs akideliver zaidi ya Alonso mwenye 31yrs
Ndio anacheza Left Wing Back piaPerisic ni winger
Negotiation tu na sio kuingia mkataba rasmiYeah sio mbaya kwakuwa n free agent ...kama akija ataongeza experience na uongozi kwenye timu...Afu jamaa upgrade nzuri ya Alonso ana Kasi , ni ball dancer mzuri, na ana mwaga maji balaa....shida Labda niulize Chelsea si wamesimamishwa sahv au kunegotiate na wachezaji inaruhusiwa?
Akacheki Tu game ya inter na Liverpool uefa. 1st leg cjui ile..aisee Alonso hawezi kukupa vitu kama vileNaomba mfuatilie vizuri Perisic hana umama mama wa Alonso huyu.
Timu isiokua na Kova, tusahau kuhusu kushinda. Tuombe tu tusifungwe mengiVs Liverkuku
--------- PULISIC ----- LUKAKU ------ MOUNT------
ALONSO -- JOGNHO -- LFC/KANTE - JAMES
-------- RUDGER ---- SILVA ---- CHALOBAH ------
[emoji117] Kwa kikosi hiki kikiamua kucheza kwa kujitoa kwa zaidi ya 80% na kupunguza makosa madogo madogo, mechi itakuwa ngumu.
[emoji117] Dah Mabingwa wa dunia tumalize msimu na kombe hili jamani. Kulikosa hili kombe itakuwa aibu kutoka kuwa bingwa wa dunia hadi fuko.