mkorea
JF-Expert Member
- Aug 16, 2016
- 8,755
- 19,706
Arsenal kakupiga ngap darajani???Kwa nini unapgia chelsea tu ndio itafungwa?
Wakati timu dhaifu hapo ni Arse88
Arsenal kakupiga ngap darajani???Kwa nini unapgia chelsea tu ndio itafungwa?
Wakati timu dhaifu hapo ni Arse88
Crystal kampiga city 2-0 Etihad, je na yy n Bora kuliko cityArsenal kakupiga ngap darajani???
Ndio sheria za sayansi ya hesabu ndg. Ukiasume hali fulani lazima uwe na costant figure na costant figure yetu ni wao kushindaKwa nini unapgia hesabu chelsea tu ndio itafungwa?
Wakati timu dhaifu hapo ni Arse88
Baki hivyo hivyo mpaka msimu unaisha upo nafasi ya tano.Arsenal kakupiga ngap darajani???
Sayansi kw hii arse888 yenye wachezaji mashoga. hata haiapply.Ndio sheria za sayansi ya hesabu ndg. Ukiasume hali fulani lazima uwe na costant figure na costant figure yetu ni wao kushinda
Huyu Lembu attakuwa alilewa asubuhi.Willian from Lile hii Chai hii nipe na andazi kabisa
Nimeshacorect huko broooHuyu Lembu attakuwa alilewa asubuhi.
🤣🤣🤣🤣🤣
Nimeichukua ila mbona ni Kiarabu tuu, hakuna namna ya kubadilisha lugha.?
Bado wanazo points 6 wanauwezo wa kuzichukua zoteSayansi kw hii arse888 yenye wachezaji mashoga. hata haiapply.
Arsenal nafasi yao ya tano, utakuja kuniambia msimu ukiisha.
Mimi naona kwa jo akae Kova kama hajaumiaVs Liverkuku
--------- PULISIC ----- LUKAKU ------ MOUNT------
ALONSO -- JOGNHO -- LFC/KANTE - JAMES
-------- RUDGER ---- SILVA ---- CHALOBAH ------
[emoji117] Kwa kikosi hiki kikiamua kucheza kwa kujitoa kwa zaidi ya 80% na kupunguza makosa madogo madogo, mechi itakuwa ngumu.
[emoji117] Dah Mabingwa wa dunia tumalize msimu na kombe hili jamani. Kulikosa hili kombe itakuwa aibu kutoka kuwa bingwa wa dunia hadi fuko.
Christensen tangu apelekeshwe na yule winga wa Madrid simtamani tena nazani chalobah ndio mtu sahihi kwasababu yupo aggressive and sharpness kuendana na kasi ya Diaz.Mimi naona kwa jo akae Kova kama hajaumia
Kwa pulisic weka Werner
Kwa Chalobah weka Christansen huyu naona katubu
Ambaye hajatubu bado ni Azpilicueat
Na mtindo uwe ule ule kumpa Lukaku mipira kama mvua za mawe
----------------- LUKAKU -----------------
--------- WERNER ---------------- MOUNT------
ALONSO ---- KOVACIC ---- KANTE ---- JAMES
-------- RUDGER ----- SILVA ---- CHRISTANSEN ------
----------------- MENDY ----------------
Sio aibu tuu itakua tunalipoteza hilo kombe mala ya 3 mfululizoVs Liverkuku
--------- PULISIC ----- LUKAKU ------ MOUNT------
ALONSO -- JOGNHO -- LFC/KANTE - JAMES
-------- RUDGER ---- SILVA ---- CHALOBAH ------
[emoji117] Kwa kikosi hiki kikiamua kucheza kwa kujitoa kwa zaidi ya 80% na kupunguza makosa madogo madogo, mechi itakuwa ngumu.
[emoji117] Dah Mabingwa wa dunia tumalize msimu na kombe hili jamani. Kulikosa hili kombe itakuwa aibu kutoka kuwa bingwa wa dunia hadi fuko.
Kama ni kweli itakua mbadala mzuri wa AlonsoIvan Perisic has reached an agreement with Chelsea. Only medical examinations and his signature are missing.
- @sportmediaset via @Inter_Xtra
Tetesi za kuuza blogIvan Perisic has reached an agreement with Chelsea. Only medical examinations and his signature are missing.
- @sportmediaset via @Inter_Xtra
Bado unamuamini Chalobah, anahitaji kupata exposure kwenye mechi kubwa. Mimi naamini Christansen Rudiger na Silva wakiwa serious tunaweza kuwazuia akina Mane, Dias na SalahChristensen tangu apelekeshwe na yule winga wa Madrid simtamani tena nazani chalobah ndio mtu sahihi kwasababu yupo aggressive and sharpness kuendana na kasi ya Diaz.