Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

20220507_172232.jpg

Asante boss
 
Tunacheza vizuri, kosakosa yingi mwisho wa game tunapoteza point kama hii sio laana ni nini?
 
Sasa hivi ni mwendo wa kuwapiga BLOCK wajinga wajinga hapa wanaotoa comment za chuki na rubbish.

Kuna ile takataka ya Liver na nyumbu mbili nimeshazipiga Block.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] kenge moja imeshapanic tayari.
 
Lembua na sisi wapita njia tunasema leo jioni nyie kenge wa darajani mnaenda kuliwa na mbwa mwitu.
Masikitiko yangu ni kuwaona nyie kenge mnachomolewa kwenye top4 msimu huu na kuungana na nyumbu kwenye ligi ya matopeni.
Inzi mmejaa sana humu hadi kero
 
Lembua na sisi wapita njia tunasema leo jioni nyie kenge wa darajani mnaenda kuliwa na mbwa mwitu.
Masikitiko yangu ni kuwaona nyie kenge mnachomolewa kwenye top4 msimu huu na kuungana na nyumbu kwenye ligi ya matopeni.
Kilio cha hao mbwa manazisikia huko darajani. Sisi hatubembelezi mbwa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom