computerarsenal
JF-Expert Member
- Jan 27, 2020
- 3,479
- 6,039
Bora usiangalie sababu ushakoswa koswa muda wowote dude linazamia kwa ndaniHii mechi inavyoelekea leo sitaweza kuiangalia. Wametukatia umeme nyumbani na ofisini na mimi sijazoea kwenda kwenye vibanda umiza