Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Mkuu kama wewe ni Arsenal na kuhakikishia Arsenal hatakua top 4 mwaka huu mwisho wa ligi. Kaangalie matches zinazokuja. New castle utd, Tottenham, nk hao msahau kuwafunga [emoji1787][emoji1787][emoji1787] game ya leo tu mnafungwa au draw
Eheeeeeeeee
 
Nyie wenda wazimu nawapumulia mgongoni.

Gap ya point 1 halafu bado mnapitisha mikia kule kwenye jukwaa la wahuni.[emoji38]
Hivi wewe kumbe ni Ass anal!!

Hivi unakaa unaamini kabisa utakuja kuchukua nafasi ya 3?[emoji23][emoji23][emoji23]
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom