Mbaga Jr
JF-Expert Member
- May 28, 2018
- 44,153
- 104,729
Vp boss, kwahy abaki au atolewe.?Itoe man U kwenye list...
Vp boss, kwahy abaki au atolewe.?Itoe man U kwenye list...
Tomorrow only 1 point itakuwa imetutenganisha na nyie bro nakupa taarifa mapemaKweli nyie ni kenge maana siyo kwaa kipigo hicho mlichokipata![]()
Keshamuweka kimoja tayarSpurs Leo anaenda kumchapa liverpool
Hakuna, sasa unaweza kusepaHili jukwaa kuna jambo gani la msingi linajadiliwa?
Spurs hawezi kugawa point kwako tena this time. wait and see.
Halafu ukitoka hapo unakutana na nani?Tomorrow only 1 point itakuwa imetutenganisha na nyie bro nakupa taarifa mapema
Majanga ya timu.Hili jukwaa kuna jambo gani la msingi linajadiliwa?
Hv n kwann yeye ndo anaonekana kama mmiliki haswa wakati wapo watatu, hao wengine kama hawazungumzwi sana au jamaa ndo katoa $ nyingi.?Bosi anapiga mpaka miluzi, hiki ni kiashiria kwamba anapenda mpira, anapenda kushangalia ushindi na mafanikio.
THE BLUES ipo kwenye mikono Salama, Makombe mengi yanakuja.View attachment 2216287
Mkuu kama wewe ni Arsenal na kuhakikishia Arsenal hatakua top 4 mwaka huu mwisho wa ligi. Kaangalie matches zinazokuja. New castle utd, Tottenham, nk hao msahau kuwafunga 🤣🤣🤣 game ya leo tu mnafungwa au drawTomorrow only 1 point itakuwa imetutenganisha na nyie bro nakupa taarifa mapema
Wewe unaamini unachukua point 3 kwa leeds?Kesho muda kama huu only 1 point itakuwa imetutenganisha then we will see katika those 3 games zilizobakia
Watu Mbona mpo negative hivyoTHE BLUES NEXT FIXTURES
Leeds:- Anapambana asishuke daraja, hapa lazima tule kipigo
Leicester:- Mid team tunaweza kuchoshana nguvu
Watford:- Ameshashuka daraja, atacheza bora liende na akikutana na sisi bora limsimu liishe, mechi inaweza kuwa kituko.
THE BLUES kikosi chetu kwa sasa kime expire. Msimu uishe tujipange kivingine

Uefa haihitaji timu dhaifu kama arsenal.mtaenda kuaibisha Tu kupigwa Saba hukoNakumbuka cku moja nikiwa nimekaa mahali flan hiv amazing nikiwa natazama mechi ya arsenal vs Bayern niliwambia washikaji ipo siku ntaludi uefa league ila natamani uho msimu ntakao ludi uefa ,
team zote za London ziwe zinapambana na arsenal kwenye top four ili nkashangaze dunia kwamba fainal ya arsenal vs Barcelona inajiludia
Arsenal tunaludi uefa utake usitake
Timu za uingereza zinazoweza kucompete ulaya ni Liverpool,city na Chelsea Tu.Nakumbuka cku moja nikiwa nimekaa mahali flan hiv amazing nikiwa natazama mechi ya arsenal vs Bayern niliwambia washikaji ipo siku ntaludi uefa league ila natamani uho msimu ntakao ludi uefa ,
team zote za London ziwe zinapambana na arsenal kwenye top four ili nkashangaze dunia kwamba fainal ya arsenal vs Barcelona inajiludia
Arsenal tunaludi uefa utake usitake