Rajab_Omar
JF-Expert Member
- May 15, 2016
- 16,480
- 27,185
Hivi mnaosema pep kafeli city wakati kila mwaka anachukua kombe ,anageuza hiyo league yenu mnayoita ngumu kuwa bundasliga [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]huwa mnakuwa mnamaanisha Nini au ni haters tu...! Najua mtasema sijui CL ila Hilo sio kombe la lazima mjue ,hakuna sehemu wanasema lazima uchukue CL [emoji28]
Kwani wapi imeandikwa lazima achukue Carabao, FA na EPL? Mbona anayapigania kwelikweli ili ayabebe?