Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Hv n kwann yeye ndo anaonekana kama mmiliki haswa wakati wapo watatu, hao wengine kama hawazungumzwi sana au jamaa ndo katoa $ nyingi.?
Huyu ndo atakuwa km operating director...na huyu pamoja n mark Walter na wyss Wana hisa 40% clearlake capital Wana hisa 60%
 
Nakumbuka cku moja nikiwa nimekaa mahali flan hiv amazing nikiwa natazama mechi ya arsenal vs Bayern niliwambia washikaji ipo siku ntaludi uefa league ila natamani uho msimu ntakao ludi uefa ,
team zote za London ziwe zinapambana na arsenal kwenye top four ili nkashangaze dunia kwamba fainal ya arsenal vs Barcelona inajiludia
Arsenal tunaludi uefa utake usitake
Mkuu hyo kweli ndoto yaan unataka uende uefa na kina tavares cjui lokonga na nketiah
 
Hahaha msijifanye kusahau Arsenal ya msimu huu ndie anaongoza kwa kuchukua point za team zote za London ukilinganisha na Chelsea, westham, spurs, na bren...
Uefa haihitaji timu dhaifu kama arsenal.mtaenda kuaibisha Tu kupigwa Saba huko
 
Bosi anapiga mpaka miluzi, hiki ni kiashiria kwamba anapenda mpira, anapenda kushangalia ushindi na mafanikio.

THE BLUES ipo kwenye mikono Salama, Makombe mengi yanakuja.View attachment 2216287

Musije mukaishia na Todd Out tu manake Tambo zikiwa nyingi mwisho wake ni aibu! Waulizeni wenzenu waliokuwa wakiranda kila uzi eti RR ni mvumbuzi wa Gengenpressing, ni Mwalimu wa Tuchel na Klopp.
Sasa hivi wako wapi?
 
Timu za uingereza zinazoweza kucompete ulaya ni Liverpool,city na Chelsea Tu.

Sema ni Liverpool na Chelsea, huyo Man City ni msindikizaji tu kama Atletico sio mpambanaji.

Ifike wakati heshima ya Ulaya iwepo kwa kutenganisha Washiriki na Wapambanaji.

Sasa hivi Watu wengi wamekuwa Brainwashed na Man City kwa kuona labda ipo Class moja na Bayern, Chelsea, Liverpool au Real Madrid.

Ukweli ni kwamba linapokuja suala la Ulaya Man City ni sawa na kina Spurs, Rangers, Dundee United na takataka nyengine tu.
 
Hahaha msijifanye kusahau Arsenal ya msimu huu ndie anaongoza kwa kuchukua point za team zote za London ukilinganisha na Chelsea, westham, spurs, na bren...
Lakini hata wewe unajua Chelsea ni Bora kuliko arsenal sema tumepitia wakati mgumu kitu ambacho kilishusha morali kidogo
 
Sema ni Liverpool na Chelsea, huyo Man City ni msindikizaji tu kama Atletico sio mpambanaji.

Ifike wakati heshima ya Ulaya iwepo kwa kutenganisha Washiriki na Wapambanaji.

Sasa hivi Watu wengi wamekuwa Brainwashed na Man City kwa kuona labda ipo Class moja na Bayern, Chelsea, Liverpool au Real Madrid.

Ukweli ni kwamba linapokuja suala la Ulaya Man City ni sawa na kina Spurs, Rangers, Dundee United na takataka nyengine tu.
Upcoming teams kwenye uefa huwa zinahangaika Sana mpaka wachukue kombe man city wakiendelea na huu mwendo watachukua uefa huko tuendako
 
20220508_170115.jpg
 
Moja ya goli lao nililolikubali
 
Sema ni Liverpool na Chelsea, huyo Man City ni msindikizaji tu kama Atletico sio mpambanaji.

Ifike wakati heshima ya Ulaya iwepo kwa kutenganisha Washiriki na Wapambanaji.

Sasa hivi Watu wengi wamekuwa Brainwashed na Man City kwa kuona labda ipo Class moja na Bayern, Chelsea, Liverpool au Real Madrid.

Ukweli ni kwamba linapokuja suala la Ulaya Man City ni sawa na kina Spurs, Rangers, Dundee United na takataka nyengine tu.
Oyaa shabiki la arsenal limelovaa jersey ya liverkuku [emoji28][emoji28][emoji28],wewe jamaa ni Malaya wa mpira tu
 
Toddy Boehly na wenzake.

----------------------------------------------------------------------
MARK WALTER:- Hello bosi Toddy nimeona kwenye taarifa unataka kuwekeza THE BLUES?

TODDY:- Ndio bosi wangu

MARK WALTER:- Aisee hili ni bonge la uwekezaji, na hii club inafanya vizuri sana kimafanikio, hawa ni mabingwa wa vilabu duniani.

Mkuu naomba nikuunge mkono, tushirikiane kwenye huu uwekezaji, japo unigawie vihisa kadhaa rafiki yako wa siku nyingi. Fanya hivyo mkuu wangu.

TODDY:- Haina shida bosi, tuko pamoja na Karibu sana.

MARK WALTER:- Shukrani bosi
----------------------------------------------------------------------

HANSJORG WYSS:- Hello mwanangu Toddy, habari yako bwana?

TODDY:- Salama mzee, Shikamoo.

WYSS:- Marahaba, club ya Chelsea ipo sokoni, Nimeona kwenye taarifa na wewe umeonyesha nia ya kutaka kuinunua

TODDY:- Ndio mzee wangu

WYSS:- Unajua mwanangu kuna wakati kijana wangu Roman alitaka kuniuzia club wakati ule amewekewa vikwazo vya kutoingia UK ila nilikuwa na mambo mengi.

TODDY:- Hahahaha pole mzee wangu

WYSS:- Sasa kijana wangu nimekupigia simu kukuambia kwamba unachotaka kukifanya ni jambo zuri sana kiuwekezaji.

Naomba tushirikiane kwenye jambo hili nikuunge mkono kijana wangu, unajua sisi wazee tunaona mbali nipatie angalau share kadhaa, najua wewe ni kijana mpambanaji huu uwekezaji utakuwa na tija

TODDY:- Mzee wangu umri wako miaka 86 sasa, unapambana kama kijana wa miaka 30 hahahaha. Sawa mzee wangu. Karibu utupatie baraka zako.

WYSS:- Hahahaha nashukuru kijana wangu
----------------------------------------------------------------------

FELICIANO:- Habari bwana Toddy naona taarifa zako boss unataka kuinunua THE BLUES, Mkuu unajua kuchangamkia fursa hahahaha.

TODDY:- Hahaha, Ndio Boss na mimi ni mtu wa michezo. Si unaona LA Dogers tunavyokiwasha.

FELICIANO:- Nakuaminia Boss, sasa tumekuwa tukishirikiana kwenye mambo mengi haswa kibiashara katika maeneo mbalimbali ya uwekezaji na unafahamu jinsi mfuko wetu wa Clearlake Capital ulivyo vizuri.

Tunaomba tuweke mkono wetu kwenye uwekezaji kwa Chelsea, tushirikiane mkuu. Hii fursa isitupite mkuu

TODDY:- Sawa bosi Feliciano naanzaje kukuambia hapana, tumetoka mbali sana. Karibu sana.

FELICIANO:- Shukrani Bosi

----------------------------------------------------------------------

BREAKING NEWS:- Chelsea takeover: Todd Boehly consortium signs agreement to take over from Roman Abramovich

Toddy, Walter & Wyss = 40% shares

Clearlake capital fund:- 60% Shares
Umejibu swali lake kisomi sana
 
Mkuu kama wewe ni Arsenal na kuhakikishia Arsenal hatakua top 4 mwaka huu mwisho wa ligi. Kaangalie matches zinazokuja. New castle utd, Tottenham, nk hao msahau kuwafunga 🤣🤣🤣 game ya leo tu mnafungwa au draw
Umekosa tunguli tu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom