Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Ukweli usemwe tu. Everton hakuachi, Newcastle hakuachi na Tottenham ndio kabsa watakugawana vibaya mno🤣🤣🤣🤣 akisha kugawana Tottenham sahau kitu inaitwa kwende UCL bakia huku chini na nduguyo mwantesa utd
Mlianza haya maneno too mech na Chelsea ,man u ,westham,leeds

Cha ajabu zinazidi kuisha tu🤣🤣🤣
 
Sijui ni umri, sometimes Havertz anafanya very stupid decisions
Jana kuna mpira alipewa kulia kwenye golden chance alikuwa ampasie tu Pulisic afunge yeye akaamua kuupiga wide right just bila hata kujali
 
Chelsea kufungwa hovyo ni dalili kuwa tunahitaji kusuka defence na katikati sana hata kuliko mbele
Mchezo wa jana umedhihirisha kuwa tukiwa na viungo wanaojua kupeleka mipira mbele washambuliaji wetu akiwemo Lukaku ni wafungaji wazuri. Mmiliki mpya asuke kuanzia wingbacks, DMs na CBs
 
Pira biriyani siyo[emoji3][emoji3]
Sio mchezo ile fainali ilinikumbusha mpira wa miaka 2005 kushuka chini.
Kipindi hicho ukisikia fainali basi ni fainali kwelikweli.
Fainali za miaka ya siku hizi zimekua ronyoronyo sana hazina hata hadhi ya kuitwa fainali.
Ni sawa na boxing tu, miaka ile ulingoni utamkuta Tyson, Lenox lewis, Evander n.k unaangalia pambano ni pambano kwelikweli, ila siku hizi bondia wenye hadhi eti unakutana na kina Mayweather, Pacquiao na utopolo nyingine nyingine, zile heavy weight siku hizi hamna tena hata mvuto wa boxing wenyewe umepungua zimebakia mbwembwe na tambo tu.
 
Sema ni Liverpool na Chelsea, huyo Man City ni msindikizaji tu kama Atletico sio mpambanaji.

Ifike wakati heshima ya Ulaya iwepo kwa kutenganisha Washiriki na Wapambanaji.

Sasa hivi Watu wengi wamekuwa Brainwashed na Man City kwa kuona labda ipo Class moja na Bayern, Chelsea, Liverpool au Real Madrid.

Ukweli ni kwamba linapokuja suala la Ulaya Man City ni sawa na kina Spurs, Rangers, Dundee United na takataka nyengine tu.
Pep ni specialist in failure so far pale man shity
 
Pep ni specialist in failure so far pale man shity
Hivi mnaosema pep kafeli city wakati kila mwaka anachukua kombe ,anageuza hiyo league yenu mnayoita ngumu kuwa bundasliga [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]huwa mnakuwa mnamaanisha Nini au ni haters tu...! Najua mtasema sijui CL ila Hilo sio kombe la lazima mjue ,hakuna sehemu wanasema lazima uchukue CL [emoji28]
 
City aka Shity siyo UEFA materials
 
Chelsea kufungwa hovyo ni dalili kuwa tunahitaji kusuka defence na katikati sana hata kuliko mbele
Mchezo wa jana umedhihirisha kuwa tukiwa na viungo wanaojua kupeleka mipira mbele washambuliaji wetu akiwemo Lukaku ni wafungaji wazuri. Mmiliki mpya asuke kuanzia wingbacks, DMs na CBs

Kwasababu kafunga magoli mawili ndiyo Lukaku amekuwa mzuri sio?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom