Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Kinachofanya Chelsea aendelee kuwepo Top 4 ni ubovu wa ARSENAL, MAN U NA TOTTENHAM
Ukisema hivyo utaonekana sio shabikli
February hadi leo tumecheza mechi 7, fungwa 3 droo 2 na kushinda 2
Katika top 6 ya sasa ni Manure tu ndio vibonde wetu kwa stats
 
Spurs wana
  1. Liverpool - leo
  2. Burnley
  3. Arsenal
  4. Norwich
Watapata points tu kwa Norwich, kwa arsenal na Burnley wanaweza pata sio zaidi ya 2

Arsenal wana
  1. Leeds
  2. Spurs
  3. Newcastle
  4. Everton
Hwatapata zaidi ya points 6

Hawa Inzi wanatucheka lakini wao hawaangalii ngoma inaypowasubiri
Hayo ya baadae sisi hayatuhusu. Tutaangalia ya wakati huu.
 
kusikia kwa kenge mpaka pale damu inapoanza kutoka matakoni, na style ya mbwa mwitu hua wanaanza kushambulia mkiani mpaka wahakikishe damu inatoka kwenye nusu kipenyo.
Endelea kulembua hivyohivyo, mshtue OllaChuga Oc halafu mwambie sisi ni kenge.
Kweli nyie ni kenge maana siyo kwaa kipigo hicho mlichokipata😂😂😂
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom