Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Kwani siku hizi kuna post watu fulani tu ndio wanaruhusiwa kuchangia?? labda huko kwenu Liverpool. Huku hata mpita njia tu ana demokrasia ya kuchangia
Lembua na sisi wapita njia tunasema leo jioni nyie kenge wa darajani mnaenda kuliwa na mbwa mwitu.
Masikitiko yangu ni kuwaona nyie kenge mnachomolewa kwenye top4 msimu huu na kuungana na nyumbu kwenye ligi ya matopeni.
 
Your Chelsea team news this afternoon!

20220507_160341.jpg
 
Lineup against Wolves
Formation: 3421

--------------Lukaku--------------

-----Werner ------------------Pulisic----

Alonso-----Kovacic-----Cheek----James

Rudiger--------- Silva ------- Azpilicueta

------------------------ Mendy -------------------
 
Chelsea imekufa baaada ya kutoka mikononi mwa abramovic
 
Nilichogundua leo Lukaku anapelekewa majalo mingi sana ashindwe mwenyewe
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom