DullyJr
JF-Expert Member
- Apr 10, 2011
- 13,993
- 11,871
DahMazingira ya kukupokea Timu yako ya asili Arsenal uliyohama 2005 kufuata Makombe ya hela za Uporaji yanaandaliwa.
Sent from my PBBM00 using JamiiForums mobile app
DahMazingira ya kukupokea Timu yako ya asili Arsenal uliyohama 2005 kufuata Makombe ya hela za Uporaji yanaandaliwa.
Hajielewi huyoUmefanya dhambi kubwa sana kuitusi Arsenal Fahari ya London
Hivi arsenal wana hata champions league moja..?Arsenal ndiyo Timu ya kwanza kuitambulisha London kimpira.
Nakumbuka kuna mpaka Mtaa huku Tz unaitwa Highbury kwasababu ya Arsenal.
Chelsea ndiyo wamekuja kuifanyia Fraud London mpaka Serikali wanatamani life litimu lenu kwa kuitia Aibu London iliyong'rishwa na Arsenal.
Mbona Arsenal habahatishi..? 🤣🤣🤣Timu inaweza kupanga kubeba kombe la ligi lakini UCL ni kubahatisha tu
Swali zuri akikujibu nitagMbona Arsenal habahatishi..? 🤣🤣🤣
Haji atakaa kimyaSwali zuri akikujibu nitag
Breaking: Todd Boehly has signed the purchase agreement to buy Chelsea in a deal worth up to £4billion and will be advanced for Government and Premier League approval after a week of intense talks.
Matt Law - TelegraphKwani ni Lini Chelsea nayo iliacha kununua Top Qualities?
Morata
Bakayoko
Pulisic
Werner
Lukaku
Kai
Kepa
Joginho
Zyech
Hao wote wamenunuliwa kwa hela kubwa sana (exclude Zyech) kwasababu ya Qualities zao halafu anasema Timu nyengine zinanunua Qualities???
Lukaku + Morata ni sawa na kununua Salah + Mane + Thiago + Diaz
Kwani ni Lini Chelsea nayo iliacha kununua Top Qualities?
Morata
Bakayoko
Pulisic
Werner
Lukaku
Kai
Kepa
Joginho
Zyech
Hao wote wamenunuliwa kwa hela kubwa sana (exclude Zyech) kwasababu ya Qualities zao halafu anasema Timu nyengine zinanunua Qualities???
Lukaku + Morata ni sawa na kununua Salah + Mane + Thiago + Diaz
Hawa wachezaji wakiwa chini ya kocha mwenye falsafa nzuri ya mpira watakuwa motoKwani ni Lini Chelsea nayo iliacha kununua Top Qualities?
Morata
Bakayoko
Pulisic
Werner
Lukaku
Kai
Kepa
Joginho
Zyech
Hao wote wamenunuliwa kwa hela kubwa sana (exclude Zyech) kwasababu ya Qualities zao halafu anasema Timu nyengine zinanunua Qualities???
Lukaku + Morata ni sawa na kununua Salah + Mane + Thiago + Diaz
Sio wote wanabahatisha bingo, wanacheza milioni anapata mmojaMbona Arsenal habahatishi..? 🤣🤣🤣
Wekeni taarifa za mmiliki wenu mpya tuone kama ana pochi nene au tia maji tia maji.
EXCLUSIVE: Chelsea FC’s new owners could be prevented from paying dividends for ten years and be bound by strict limits on the club’s indebtedness under a package of measures dubbed ‘anti-Glazer clauses’ aimed at avoiding the controversy that dogged Manchester United after…Wekeni taarifa za mmiliki wenu mpya tuone kama ana pochi nene au tia maji tia maji.
Sasa U Cl ni bingo..? Unaongea nini..? Yaani arsenal na wachezaji wao wa mafungu wabebe uefa hata kama ni habati. Kwanza ili uende kuibeba uefa inabidi kwenye ligi ufanye vzr upate nafasi ya 4 za juu kwa pale EPL. Sasa aseno bwana hapo top 4 tu ni mbinde. Kweli wataweza kutoana jasho na wanaume kule CL na kingine hata wakipita hawavuki makundi 🤣🤣🤣Sio wote wanabahatisha bingo, wanacheza milioni anapata mmoja
Wanaweza wakashinda kupitia EuropaSasa U Cl ni bingo..? Unaongea nini..? Yaani arsenal na wachezaji wao wa mafungu wabebe uefa hata kama ni habati. Kwanza ili uende kuibeba uefa inabidi kwenye ligi ufanye vzr upate nafasi ya 4 za juu kwa pale EPL. Sasa aseno bwana hapo top 4 tu ni mbinde. Kweli wataweza kutoana jasho na wanaume kule CL na kingine hata wakipita hawavuki makundi 🤣🤣🤣
Sitaki kuamini kama huelewi kiingereza ninacho amini umeamua kujitoa ufahamu na kujaribu kucheza na akili zetu kubwa. Morata, Bakayoko na Pulisic hao ni top quality? Mchezaji kununuliwa kwa bei kubwa haina maana ni top quality. Ndio maana hapo wewe mwenyewe umesema Lukaku na Morata ni sawa na hao wachezaji wanne uliowataja which in fact umeongelea quality na price tag kitu ambacho hakiendi sawa. Sio kila wakati price tag inaashiria quality. Kwa hiyo acha majungu