Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Hakuna Timu yoyote inayotamani kukutana na Chelsea [emoji23][emoji23][emoji23]


Tunabeba zote EPL na UCL kwa pamoja [emoji23][emoji23][emoji23]

Super Lukaku lazima abebe Kiatu cha ufungaji bora [emoji23][emoji23][emoji23]
Nililala usingizi mwororo kabisa maana nafasi ya 3 kwa timu kubwa "Chelsea FC" kimsimamo EPL haina ladha kabisa kuliko nafasi ya 1 na kubeba ubingwa wa EPL [emoji16]
 
Yani nyie mpaka tuhakikishe ile nafasi ya Spurs ya sasa ndio mnamaliza nyie![emoji38]
ARSE8 mnateseka sana, mngetambua Chelsea FC tulimchezea fairness game ili Mwamba wetu Lampard asishuke daraja na timu yake Everton msingerundikana humu [emoji23]
 
THE BLUES NEXT FIXTURES

[emoji117] Wolves
[emoji117] Leeds
[emoji117] Leicester
[emoji117] Watford
Zote hizo ni kushinda mwanzo mwisho, isipokuwa hatukuwa tayari kumwacha legend wetu Lampard ashuke daraja na Everton ili mwakani aendelee kuwasumbua akina Liverkuku na Mwacity ambavyo mwaka huu alimsumbua sana Mwacity hadi alipewa ushindi wa mezani (si ushindi halali)
 
Mnakumbuka maneno haya

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
20/10 - Romelu Lukaku is the only player across the last 15 seasons to record 20+ goals and 10+ assists in a single Serie A campaign. Unprecedented. We look at why Chelsea are set to break their transfer record to bring the Belgian back to England.
Hakika mlipata jembe Sasa ana gol hata kumi zimefika?

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Hahaaaa Eti Arsenal katika mech 5, point 15 atoke na 6 points

Haya katika 5 , moja tayari 3 points,
 
Kuna unayeona anaweza kuokota hata droo hapo?

Ratiba ya Chelsea Kuna wawili wana weza mvuta shati, wolves kashapigika mech 4, anataka kufufukia kwa Chelsea
hapo wa kumuogopa ni leeds yuko pabaya kama Everton, wolves hana cha kupambania
 
Hata mimi niliwaza hilo, wachezaji wengi pale Chelsea na vipenzi vya Lampard
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…