Timu yako iko wapiNahisi cheltako mmeshalala maana![]()
Kwani ww huijui Liverpool?Timu yako iko wapi
Kiungo yetu hoi, wachezaji hoi. Madrid bado wanapumzi ya kukimbia
HahahahahahahaHii kazi anayofanya Benzema alitakiwa atufanyia Lukaku, sasa anakaa bure tu



Timu yako ipoNdo mnatakiwa muelewe kuna jitihada na kuna uzoefu chelsea mlikuwa na jitihada![]()
Tumepambana sana mpaka muda huu. Tunaiachia bahati ifanye kazi yake