Murashani GALACTICO
JF-Expert Member
- Feb 27, 2012
- 2,516
- 5,418
Ngoma ya watoto haikeshi. Mtoto halali na hela analala na mavi tuu
Where is your shit Arsenyeto?Kukumbushana Muhimu leo ni Wednesday lakini Chelsea are out of Championsleague lembu Hziyech22 Cash Money Forever OllaChuga Oc 42774277 huwa mna makelele sana wakati timu hamna imejaa umama umama mnaongoza 3 then mnatolewa?bye bye
![]()
Cheltako hongereni kwa kushinda na njaa hahahaTumeshinda lakini tumetolewa
Ugulia maumivu ya leo kwanzaWhere is your shit Arsenyeto?
Tar 20 tunaisubiri tuipige kipigo cha mbwa koko kama The Saints.
Kukumbushana Muhimu leo ni Wednesday lakini Chelsea are out of Championsleague lembu Hziyech22 Cash Money Forever OllaChuga Oc 42774277 huwa mna makelele sana wakati timu hamna imejaa umama umama mnaongoza 3 then mnatolewa?bye bye
![]()
Emery yuko vizuri na Villarreal yake wameonyesha kitu cha ajabu





Katika hazina aliyoiacha Roman basi ni uwepo wa Thomas Tuchel,
Matajiri wanaokuja wampe wachezaj anaowataka,
Hii ndio hazina itakayotufanya tuendelee kupigania makombe
Benzema Leo inatakiwa wamkabe watu 10![]()