Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Nyie takataka wenzenu tuli piga goal 9 hao nanyie vigoli 6 mmeviona vingi kweli kweli subirini tu mpapaso wenu toka kwa Madrid.
20220410_103649.jpg
 
Nyie takataka wenzenu tuli piga goal 9 hao nanyie vigoli 6 mmeviona vingi kweli kweli subirini tu mpapaso wenu toka kwa Madrid.View attachment 2182477
Kuna mtu kakuuliza?

Mbona unawashwa. Kwann husipambane na timu yako. Au utoe hata ushauri jinsi ya kuboresha timu yako.

Allypipi.....Chelsea huiwezi inakuzidi kila kitu wewe pambana na kina Arsenal hiko na Stoke City. Chelsea ni another level.
 
Nyie takataka wenzenu tuli piga goal 9 hao nanyie vigoli 6 mmeviona vingi kweli kweli subirini tu mpapaso wenu toka kwa Madrid.View attachment 2182477
Wewe Kenge sisi tumewapiga hao Soton goal 6 nyumnani kwake halafu wakiwa wametimia.

Nyinyi match yenu watoto walikula redcard dakika ya 2 ndo mkawaotea goal zote hizo.

Huwezi kufananisha Chelsea na hicho kitimu chenu.

Hicho ni kigenge kwa sasa.
 
Team yetu inamuhitaj Kovacic pale kati hii ni kwa sababu ya uwezo wake, asipokuwepo huwatuna pata tabu sana
 
Team yetu inamuhitaj Kovacic pale kati hii ni kwa sababu ya uwezo wake, asipokuwepo huwatuna pata tabu sana
Nashukuru kw kulitambua hilo, combination ya kante na jog haijawahi kuwa sawa tunapataga tabu sana hata kwnye kupata magoli. Kocha nashangaa alionagi hilo. Utashangaa kesho kova ananza nje!
Halafu pia pulisc ni wakuanzia benchi, aanze wener angalau anajitahid kwenye kupress mana siku zile na madrid Havertz alikua anapress peke yake.
 
Madrid kumtoa Chelsea kesho Wala sio habari ,lakin kesho Chelsea akimtoa Madrid itakuwa headline kwenye magazeti yote ulaya ..na itakuwa moment mojawapo za CL ambazo tulikuwa tumezimiss

Kazi kwenu
 
Kuwacheza JOG & KANTE au KANTE & KOVACIC inategemeana na aina ya mpinzani tunayecheza naye. (nguvu, kasi na ubunifu wa viungo wake)

Kante & Kovacic wanatembea na mpira tofauti na Jog anatulia kati kati anatawala dimba.

Kuwapanga KANTE & KOVACIC pale katikati panabaki wazi, ukicheza na mpinzani mwenye viungo wabunifu wanatumia huo uwazi katikati kutumaliza kwa maana mabeki wetu watakuwa kwenye matatizo.

Faida ya KANTE & KOVACIC kucheza pamoja ni kutembea na mpira kila mahali, wanapora mipira, wanakaba, wanapress na kushashubilia kwa kasi.

Na ndio maana hawa jamaa KANTE & KOVACIC wakicheza kwa pamoja itamlazimu mabeki wetu kusogea juu kidogo kukabia juu ili kuziba gap.

Mi naona ni BORA JOG acheze na KANTE ila Kante awe kwenye ubora wake wa kutembea na mpira, JOG afanye kazi ya kucontrol uchezaji wa timu.

Au wacheze wote KOVACIC JOG KANTE, jog abaki nyuma kidogo kuwalinda wake back 3
Hata useme nini kauli ni moja ya kesho kuwa ASANTENI KWA KUSHIRIKI
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom