Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Tuchel akihojiwa kuhusu Ziyech na performance yake alisema Ziyech anacheza vizuri akicheza kama winga wa kulia
Alienda ndani zaidi na kuserma kwenye formation ya 3-4-3 huwa kuna wing-backs na hakuna winga kwa hiyo hizi formation zenye winga zinamfaa zaidi ikiwemo 4-1-4-1.

TT pia alisema wachezaji waliounga mkono hiyo formation ndio waliocheza na wamecheza vizuri. Alisema walijaribu 4-4-2 kwenye mechi ya kwanza na Spurs lakini walireact vizuri mechi ya pili
 
Chelsea player ratings vs Totenham
  1. Kepa Arrizabalaga 7/10
  2. Cesar Azpilicueta 7/10
  3. Thiago Silva 8/10
  4. Antonio Rudiger 7/10
  5. Malang Sarr 8/10
  6. Jorginho 7/10
  7. Mateo Kovacic 7/10
  8. Mason Mount 8/10
  9. Hakim Ziyech 8/10
  10. Callum Hudson-Odoi 8/10
  11. Romelu Lukaku 7/10
  12. N'Golo Kante 6/10
  13. Marcos Alonso - Alicheza muda mchache sana
 
Nife maji kwa kipi hasa ikiwa umenizidi game mbili ila mie nakuzidi point?
Chelsea is too strong to Spurs, hata kocha wenu akihojiwa alisema Chelsea iko level tofauti na Spurs kwa hiyo sio haki hata mimi kubishana na shabiki wa Spurs

19 Sep 2021 3-0
5 Jan 2022 2-0
12 Jan 2022 1-0
23 Jan 2022 2-0
Total 8-0
 
Hamna mchezaji yoyote katika Man U ya sasa ana uwezo wa kufunga goli kama hilo la Ziechi jana
Screenshot_20220124-173123_Facebook.jpg
 
Nyie takataka mmenifuraisha sana jana naenda mapumziko na dunda big 4.
 
Liverpool na Brighton waulalamikia ufinyu wa dressing room Stanford Bridge

Sasa ndio wakati wa kuufanyia marekebisho makubwa ikiwemo kuupanua uwanja ili iendane na wakati na ilingane na hadhi ya timu
Uwanja kuwa na uwezo wa mashabiki 41,000 wakati viwanjua vingine viko zaidi ya 70,000 ni aibu kubwa

"Chelsea have been forced to expand the away dressing rooms at Stamford Bridge after complaints from rival clubs.

Liverpool and Brighton boss Graham Potter are understood to have moaned about the size of the facilities for visiting teams.

That has forced Chelsea into a revamp at Stamford Bridge to meet Premier League rules to comply with extra tough guidelines during Covid times.

Chelsea have increased the size of the away dressing room by knocking through into the press room at Stamford Bridge, making the media area smaller and giving opposition teams more space.

The home dressing room at Stamford Bridge has always been notorious for being larger and more luxurious than the away dressing room."

1643113438454.png
1643113472770.png

Viwanja vya mpira England na uwezo wao, The Bridge ni ya 11 kwa uwezo

#1
Wembley Stadium

Capacity = 90,000

Football Club: None

#2
Old Trafford

Capacity = 75,000

Football Club: Manchester United – Red Devils

#3
Tottenham Hotspur Stadium

Capacity = 62,000

Football Club: Tottenham Hotspur FC or Spurs

#4
Emirates Stadium

Capacity = 60,000

Football Club: Arsenal FC – The Gunners

#5
London Stadium

Capacity = 60,000

Football Club: Westham United – The Hammers

#6
City of Manchester Stadium Commercially Known as Etihad Stadium

Capacity = 55,000

Football Club: Manchester City FC - The Citizens

#7
Anfield

Capacity = 54,000

Football Club: Liverpool FC - The Reds

#8
St James' Park

Capacity = 52,000

Football Club: New Castle United - The Magpies

#9
Stadium of Light

Capacity = 49,000

Football Club: Sunderland FC - The Black Cats

#10
Villa Park

Capacity = 42,000

Football Club: Aston Villa FC - The Lions

#11
Stamford Bridge

Capacity = 41,000

Football Club: Chelsea FC – The Blues
 
Cesar Azpilicueta to Barcelona this summer is 'done'. He will sign a two-year contract, with the option of a further year.

[via @10JoseAlvarez]
 
Niliwahi kusema kuhusu Tammy Abraham lakin kuna baadhi ya watu humu walinipinga sana. Huyu dogo ni bonge la potential hawa ndio wana moyo wa kuipambania timu kuliko wengi wanaokuwa hyped. Kuna siku tutataka kumrudisha kwa pesa nyingi na ataringa kwa kutaka apewe hela ya kuzidi.

Tujifunze kuthamini vya kwetu wakati Lukaku na Werner ni majeruhi nauhakika huyu dogo angetusaidia sana. Poor Chelsea
 
Mfano mzuri tungemuamini broja angetusaidia Sana jamaa kafunga Sana magoal kwenye preseason kuliko mchezaji yoyote wa chelseafc Cha ajabu wametoa kwa mkopo.Mwingine ni Vale ameonesha potential kubwa Sana na kipindi hiki Cha majeruhi ya Benchilwell na kutoaminika kwa alonso bali ilitakiwa tuumpe nafasi kubwa huyu bwana mdogo imekuwa kinyume chake.Chelsea tuna shida kubwa Sana wakutowaamini vijana
 
Tammy hamna kitu huyu kwa epl hawezi huko huko araga'aa tu
 
Mfano mzuri tungemuamini broja angetusaidia Sana jamaa kafunga Sana magoal kwenye preseason kuliko mchezaji yoyote wa chelseafc Cha ajabu wametoa kwa mkopo.Mwingine ni Vale ameonesha potential kubwa Sana na kipindi hiki Cha majeruhi ya Benchilwell na kutoaminika kwa alonso bali ilitakiwa tuumpe nafasi kubwa huyu bwana mdogo imekuwa kinyume chake.Chelsea tuna shida kubwa Sana wakutowaamini vijana
Chelsea toka lin mka lea academy??? Sie tumezoea kupigwa za uso kwenye sajir
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom