Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Wanangu vipi kuhusu club world cup si ilikuwa ifanyike mwezi wa 12
Tunacheza nusu fainali siku 11 zijazo.

Screenshot_2022-01-29-08-13-16-110_com.mobilefootie.wc2010.jpg
 
Tammy hamna kitu huyu kwa epl hawezi huko huko araga'aa tu
Hakuna mchezaji tammy magoli kipindi akiwepo Chelsea. Yan mchezaji anaweza kukupa not less than 20 goals kama utampa nafasi. Trust me huyu dogo baada ya miaka 2 kuna timu ya EPL itataka kumrudisha akiwa kwenye peaka yake
 
Mfano mzuri tungemuamini broja angetusaidia Sana jamaa kafunga Sana magoal kwenye preseason kuliko mchezaji yoyote wa chelseafc Cha ajabu wametoa kwa mkopo.Mwingine ni Vale ameonesha potential kubwa Sana na kipindi hiki Cha majeruhi ya Benchilwell na kutoaminika kwa alonso bali ilitakiwa tuumpe nafasi kubwa huyu bwana mdogo imekuwa kinyume chake.Chelsea tuna shida kubwa Sana wakutowaamini vijana
Broja ukiisha huu msimu anarudi darajani. Uzuri tumempeleka kwa mkopo ameenda kuongeza kujiamini. Nachompendea Broja ana kariba ya kama Lewandowski
 
Chelsea mpaka sasa tumemsajili nani kuongeza nguvu kwenye kikosi?
 
Chelsea are willing to sign Ousmane Dembele from Barcelona in the next 48 hours,

{Marca}
 
Chelsea are willing to sign Ousmane Dembele from Barcelona in the next 48 hours,

{Marca}
Siku hizi kwenye usajili huwa zero tuna tatizo ya wing back wa kushoto, tunakimbilia winger, hatuna mbadala wa kante tunang'aa macho mpaka kinda wa Monaco wamemvalue £60
 
Club imrudishe MICHAEL EMENALO kwenye ukurugenzi wa club, Marina atupishe.

Emenalo alikuwa anafanya signings za maana, majembe ya kazi.

Sio marina anatuletea wachezaji wanaumwa kwashakoo, viwango vya kuunga unga na solotepu wanatupotezea muda bure na kula mishahara ya bureView attachment 2101662
Huyo mama ni bonge la mduanzi, na anataka kutuletea Dembele manina zake.
 
Hakuna mchezaji tammy magoli kipindi akiwepo Chelsea. Yan mchezaji anaweza kukupa not less than 20 goals kama utampa nafasi. Trust me huyu dogo baada ya miaka 2 kuna timu ya EPL itataka kumrudisha akiwa kwenye peaka yake
Na kama akirudi itakuwa kama kesi ya Lukaku 2 alivyorudi Chelsea....hawa n wachezaji WA timu ndogo Tu
 
Na kama akirudi itakuwa kama kesi ya Lukaku 2 alivyorudi Chelsea....hawa n wachezaji WA timu ndogo Tu
Abraham kaondoka chelseafc sio kwasababu kafanya vibaya ni kwasababu kashindwa kuaminiwa na club kumbuka msimu wake wa kwanza chini ya Lampard alipewa nafasi na akafunga goals 16 za epl tofauti na Lukaku msimu wake wa pili hakupewa kabisa nafasi kama ilivyo msimu wake wa kwanza so scenario ya Lukaku na Abraham.Potential ya Abraham ya kuwa mchezaji mkubwa naiyona kabisa.
 
Raphinha to Chelsea in the summer​

Chelsea have registered an interest in signing Leeds United winger Raphinha at the end of the season, The Daily Mail have reported.

1 Raphina = 10 Dembele
 
Chelsea Attackers Considering Summer Exit as Mood Declines in Camp​

Some of Chelsea's attackers are considering leaving the club this summer as moods decline in the camp due to the way Thomas Tuchel 'uses and treats' them, according to reports.

It's been a difficult few weeks for the Blues who have been left physically and mentally tired from their relentless schedule over the Christmas and New Year period.

Mood has dropped following the heavy workload, as well as the tensions which have risen after Romelu Lukaku's secret interview with Sky Italia.

That was evident against Brighton after Hakim Ziyech's muted celebration when he put Chelsea ahead on the south coast. Chelsea looked, and were frustrated. Ziyech and Romelu Lukaku were in discussions walking off at half-time, clearly not happy with each other or something that happened in the first half.

Fast forward five days and when he scored a screamer against Tottenham, the squad were in much better spirits.

Now as per the Athletic, 'the mood among many of Chelsea’s attackers isn’t good to say the least due to the way Tuchel uses and treats them'.

Tuchel has rarely used the same front three, not giving a combination time to build chemistry, since last season when Mason Mount, Kai Havertz and Timo Werner dominated the front three selection.

As Tuchel chops and changes, which is claiming to frustrate and annoy members of the Blues attack, some are giving serious thought to leaving this summer as a result.

The report states that 'the situation has grown serious enough for some of them to start considering leaving in the summer'.

Kai Havertz has been left out, surprisingly, in recent games, while Romelu Lukaku and others have continued to be given chances despite below-par displays.

Tuchel will hope the frustration has been caused by tired minds following the heavy workload over the last couple of weeks, and when they return from the winter break they will be have clearer and fresher minds.
 
Tuchel Wants Gallagher Back in Chelsea Squad From Summer Onwards​

Mwanzoni mwa mwezi huu wa Januari, Armando Broja awa mchezaji chipukizi wa kwanza katika historia ya EPL kufunga katika mechi nne za nyumbani alizopangwa kuanza.

Armando Broja became the youngest player in Premier League history to score in his first four home starts, at the age of 20 years and 123 days.
 
Abraham kaondoka chelseafc sio kwasababu kafanya vibaya ni kwasababu kashindwa kuaminiwa na club kumbuka msimu wake wa kwanza chini ya Lampard alipewa nafasi na akafunga goals 16 za epl tofauti na Lukaku msimu wake wa pili hakupewa kabisa nafasi kama ilivyo msimu wake wa kwanza so scenario ya Lukaku na Abraham.Potential ya Abraham ya kuwa mchezaji mkubwa naiyona kabisa.
M namuona akiwika ligi nyingine Tu lkn sio epl ...km kuwika EPL Labda Kwa timu ndogo Tu km kina Bertrand Traore WA Aston villa don't expect much on the lad
 
M namuona akiwika ligi nyingine Tu lkn sio epl ...km kuwika EPL Labda Kwa timu ndogo Tu km kina Bertrand Traore WA Aston villa don't expect much on the lad
Aliaminiwa na Lampard, akafunga goli 15 za ligi tu mwaka wake wa kwanza akiwa na 22yrs. Angeendelea kuaminiwa angefikisha 20+ kwa msimu.
 
Aliaminiwa na Lampard, akafunga goli 15 za ligi tu mwaka wake wa kwanza akiwa na 22yrs. Angeendelea kuaminiwa angefikisha 20+ kwa msimu.
Mzee Kwan lampard hakuendelea kumuamini ? Aliishia kufunga goli ngapi kabla ya kuja Tuchel ...huyo n midtable type of a striker Tu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom