Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Nyie takataka mmeona mpapaso tuliotoa kwa madogo wale vile ndo inatakiwa ucheze ukikutana na vitimu kama vile.
 
Werner adai HAJUI ni kwa sababu ipi mashabiki wanampenda
 
Akija Huyu pulisic inabidi atafute timu haiwezekane tuwe na wachezaji wengi wanaoshinda hospital kila siku
20220120_152449.jpg
 
Steven Bergwijn afanya maajabu ndani ya dk 2
Ilikuwa hivi mpira ulikuw ana nyongeza ya dakika 6 kwa hiyo ulikuwa uishe dk ya 96 kama inavyosoma kwenye ubao wa matangazo

Kaingia dk ya 79 na maelekezo maalumu kutoka kwa Conte
Dakiak ya 94 kapewa kadi ya njano, ikaonekan sasa meli yao inazama kabisa kwani spurs ilikuwa nyuma 2-1
dakika ya 95 kafunga goli la kusawazisha dhidi ya Leicester city 2-2
dakika ya 96 akafunga goli la ushindi na Spusr 2-3 na wakaondoka na points 3 zote katika uwanja wa King Power Stadium
1642692587545.png
 
Thomas Tuchel has been boosted by the news Trevoh Chalobah and Reece James are back out on the grass as they continue their recovery from injury, but the boss won’t have any fresh faces available to him for Sunday’s game against Tottenham.​

Yeye mwenyewe Hana furaha na kikosi chake [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Timu imajaa mamluki kibao ...hadi kocha hayaaamini machezaji Tena [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Timu imajaa mamluki kibao ...hadi kocha hayaaamini machezaji Tena [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787]
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom