Usisahau ni Man City hiyo hiyo ikiwa chini ya Pep Kipara ilishtakiwa kutumia pesa nyingi sana ktk kusajili wachezaji wapya tena wakati huo huo ilikuwa ni timu pekee UK kutumia pesa nyingi sana zaidi ya £900 tangu Pep Kipara atinge hapo Man City kuliko timu zote zinazoshiriki EPL.
Man City amebahatika tu kutokuwa na majeruhi na kuathirika kwa COVID-19 mwaka huu tofauti na Chelsea FC iliyokumbwa na majeruhi wa5 na wagonjwa wa COVID-19.
Pia Chelsea FC haikubahatika kughairi mechi hata 1 tokana na hizo changamoto tofauti na Man Utd, Tottenham waliokuwa na waathirika wa COVID-19 wachache na kuhairisha baadhi ya mechi.
Mfano Liverpool FC ilibambwa na waathirika wa3 tu wa COVID-19 ilihairisha mechi.
Sent from my CPH2185 using
JamiiForums mobile app