[emoji1787][emoji1787][emoji1787] njoo utambie liverpoolAhahahahaj ngoja nianze kutamba Sasa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hahhahaha mapema nishakichafua mule haha😂😂😂[emoji1787][emoji1787][emoji1787] njoo utambie liverpool
Mkuuu kapikie hizo nyanyaNgoja nivute kiti kwanza kati ya cheltako na totonama.View attachment 2093000
Aliyewaambia mtachukua kombe kwa kumfunga spurs anawapoteza, badala ya kumpiga city mnahangaika na midtable teamsAhahahahaj ngoja nianze kutamba Sasa😂😂😂😂
Haya maneno ni ya mfa maji, hakuna aliyesema hivyo, Spurs walimfunga City, Crystal Palace walimfunga City hapo vipi, wamechukua makombe? Au nabishana na mlevi mmoja nini?Aliyewaambia mtachukua kombe kwa kumfunga spurs anawapoteza, badala ya kumpiga city mnahangaika na midtable teams
Wewe ulitaka tumpige city halafu Spurs tumuache eti kwa sababu ni midtable team? Mujiandae nyie livakuku kutoka kwenye naffasi za watu😂😂😀Aliyewaambia mtachukua kombe kwa kumfunga spurs anawapoteza, badala ya kumpiga city mnahangaika na midtable teams
Mna uwezo hata wa kupata sare kwa city nyie?Wewe ulitaka tumpige city halafu Spurs tumuache eti kwa sababu ni midtable team? Mujiandae nyie livakuku kutoka kwenye naffasi za watu😂😂😀
Nife maji kwa kipi hasa ikiwa umenizidi game mbili ila mie nakuzidi point?Haya maneno ni ya mfa maji, hakuna aliyesema hivyo, Spurs walimfunga City, Crystal Palace walimfunga City hapo vipi, wamechukua makombe? Au nabishana na mlevi mmoja nini?