Nayo imeshindikana, wamekojozwa cha pili.😹😹😹
😹😹😹 Mbavu zinaniuma kwa kucheka..!!Nayo imeshindikana, wamekojozwa cha pili.
Kesho utawakuta kwenye uzi wa Arsenal na tambo na dis kibao kama wanaongoza ligi vile.😹😹😹 Mbavu zinaniuma kwa kucheka..!!
Yani sitaki kuamini leo Chelsea wote wamesusa uzi wao..!!
Waje wapambane na wao huku..!!Kesho utawakuta kwenye uzi wa Arsenal na tambo na dis kibao kama wanaongoza ligi vile.
October pia imejaa misukosuko, wana everton, spurs liver na man u.Waje wapambane na wao huku..!!
Carrick atakua wa tatu.Nilisema mapema kabisa, hamna kocha mule. Kocha wa kwanza kitimuliwa atakuwa Lampard kisha atafuata Alonso.