Hiv umesahau Chelsea ilimteua mateo kovacic kuwa mchezaji Bora wa clubNiletee statistics za msimu ambao Kova ameperfom nikucheke.
Usipoleta kaa tu kimya.
Game tulizocheza kuanzia dec 1 mpaka sasaAsked to explain the recent poor league form, Tuchel replied: “I answered this question a hundred times, if you look at our situation of long-term injuries, of key players injured, and of Covid and you look at our schedule you will have the answer.
“We are mentally tired and physically tired, you can see it in our performance, it’s as easy as that. We need to recharge the batteries, we need to reconnect.
“This is my feeling, that’s why I give the players two days off and then we will use Friday and Saturday to prepare for Sunday.”
Good news ni kwamba Chelsea kuanzia sasa hadi mwisho wa ligi wana mechi za kawaida sana, wao wenyewe tu washindwe kukusanya pointsGame tulizocheza kuanzia dec 1 mpaka sasaView attachment 2088297
Good news ni kwamba Chelsea kuanzia sasa hadi mwisho wa ligi wana mechi za kawaida sana, wao wenyewe tu washindwe kukusanya points
Katika hizo mechi 15 wakiweza kubeba pts 30 hadi 35 tu jumla watakuwa na pts 74-79 ambazo Spurs na Arsenal hawataweza kufikia. Tutaweza kushika nafasi ya 3 au 4. Kinyume na hapo, tukiendeleza hizi muvi za kihindi zinazoonyeshwa sasa tutaambulia nafasi ya 5 na Uropa inatuhusu mabingwa watetezi wa UCL
LABDA TUSHINDE TENA UEFA




Kuwa restricted kufanya usajil ni ngumu sana, kwenye ffp tushaepuka huko,View attachment 2088402
Na hasara hizo timu isipomaliza top four inabidi kuna wachezji wauzwe na mtakuwa very restricted kusajili hahahaah.
Michezaji yenyewe haiuziki itabidi iuzwe kwa hasara sasa ili ku-free wage bill na muwachkue academy graduates waje kikosi cha kwanza.
Namuona Lukaku akielekea Spurs kwa Conte
Baada ya game ya spurs hatutokuwa na game yeyote ya league mpk hapo tutakapotoka cwcGood news ni kwamba Chelsea kuanzia sasa hadi mwisho wa ligi wana mechi za kawaida sana, wao wenyewe tu washindwe kukusanya points
Katika hizo mechi 15 wakiweza kubeba pts 30 hadi 35 tu jumla watakuwa na pts 74-79 ambazo Spurs na Arsenal hawataweza kufikia. Tutaweza kushika nafasi ya 3 au 4. Kinyume na hapo, tukiendeleza hizi muvi za kihindi zinazoonyeshwa sasa tutaambulia nafasi ya 5 na Uropa inatuhusu mabingwa watetezi wa UCL
LABDA TUSHINDE TENA UEFA


Lete numbers.....Hiv umesahau Chelsea ilimteua mateo kovacic kuwa mchezaji Bora wa club
Mavi hayoCheltako njoeni mshuhudie mpira wa wanaume leo Red devilstunacheza leo na dunia yote kuna furaha.
Mavi takata hakuna kitu hapo, Bruno na Ronaldo hawaiviKosi la leo, baadae kdg nitawaletea kosi kamili, nmeongea na Profesa Sir Ralf Rangnick anasema kosi litabadilika kdg na fomesheni pia tutacheza 4 3 3, usipange kukosa nyie yatimaView attachment 2088526
Hapa umemsahau Lececiter Mwenye viporoo vitatu.akishinda anapanda juu
Ajifungishe ss ili ajitoe mbon nyumbu kapunguza kijanjaGame tulizocheza kuanzia dec 1 mpaka sasaView attachment 2088297