Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Tuliwambia Chelsea uefa alibahatisha TU,kama mnakumbuka hata top 4 ilikuwa bahati TU maana kama Lececiter city angeshinda game dhidi ya Leeds, Chelsea inge maliza Ligi ikiwa nafasi ya 5.

Mngeshiriki uefa Kwa kuchukua Uefa hiyo ya bahati bahati,na siyo Kwa nafasi kwenye msimamo wa Ligi kama Lececiter city angeshinda msimu uliopita mechii ya mwisho.

Mlikuwa na bahati saana msimu ulio pita.Lakini uwezo wenu ni mdogoo.

Mnachojua ni kudefense TU.
Punguza wivu wa kike mzee.

Kuna stage uliona tumepita kwa penalty?

Madrid aliyekuchomoa wewe sisi tulimgonga goal 3 kwa moja, We ulikuwa hujazaliwa?
 
Tuchel anafanya transformation ya kumfitisha lukaku,hii nayo inatugharimu..
Lukaku ameshine Inter inayocheza 3 5 2 Thom anacheza sana 3 4 2 1 kama shida ni kumfitisha Lukaku si acheze 3 5 2? Au 3 4 1 2?

Werner aling'aa RB kwa 4 3 1 2 akiswitch 3 4 1 2 akamuweka Werner na Lukaku mbele itakua problem solved kwa kua na washambuliaji wake hatari wote wawili kule mbele.
 
Punguza wivu wa kike mzee.

Kuna stage uliona tumepita kwa penalty?

Madrid aliyekuchomoa wewe sisi tulimgonga goal 3 kwa moja, We ulikuwa hujazaliwa?
Kwani Carabao umefikaje fainal kama siyo Kwa penati karibia mechi 2 kama siyo tatu?

KUBALI uwezo wa timu ni mdogo TU
acheni kusingizia majeruhi na uviko.maana Kila timu hao watu inao.
Si nyie mlisema Mna kikosi kipana!
 
Janga la wote kivipi,


Man city

De Bruyne tu ndio alipata Covid mwisho wa mwezi November.

Kuelekea Christmas Rodri na Walker wakaumwa Corona,

Baada ya mwaka mpya Zincheko na Foden.
Haya hapo unasemaje? Arsenal ndio sitaki kuiongelea kabisa
Ukiona ivo ujue kuna team(ManCity) zimejarb kuhandle wachezaj wao vzr au kuwa~address wachezaj wajitunze waepeuke maambukizi ndo maana unaona city wako vzr.
 
Nilisema, kipindi kile kuendelea kuwategemea azplicueta na alonso kama wingback or fullback zetu nikuendelea kujitafutia matatizo, hawa wa sasa sio wakucheza game za premier league washajichokea. Hawawezi pandisha mashambulizi wako slow sana

Mara zote kocha huwa akifanya vizuri board yetu huwa inamuangusha kwenye usajili na ndio tuchel anachokutana nacho sasa,

Chilwel+James walifanya system yake itiki, ila baada ya wote kuumia mpk leo hii tunahangaika kusajili replacement zao, mara tunakazania kennedy or emerson then tunategemea tumfikie city
 
Inawezekana sisi tuliadhirika zaidi, lakini ndugu BIG picture ina amana hata sasa matokeo hayaendani na hilo unalosema. Hii sasa sio majeruhi wala sio COVID-19. Na hii behaviour ya wachezaji kutojituma kama mwanzo wa ligi ilianza game na Burnley. Hata game tulizoshinda baada ya Burnley ni kwa bahati tu. Burnley tulicheza nao November 6 leo inakaribia miezi mitatu. Siku zote hizo sisi tulikuwa na majeruhi tu au COVID19 tu. Ushabiki usitupumbaze tukaacha kuuona ukweli

Tulimsifia sana TT kwa kulitatua swala la Lukaku vizuri lakini mimi nasema inavyoonekana BADO na tatizo la la Lukaku sio lake peke yake

Timu imeanza kuboronga mwanzoni mwa November na mwanzoni mwa December Lukaku akenda kwenye vyombo vya habari kuchafua hali ya hewa.
Hapo hapo Lukaku akiwa majeruhi timu ilicheza vizuri kidogo, amerudi hali ni mbaya, mabeki tu ndio wanajitahidi kucheza ila wanalemewa kwa sababu mbele hakuna mawasiliano na Lukaku, No linkage, ni kama wanamgomea Lukaku
Kama Lukaku ndie Yona anayezamisha meli si atoswe baharini ili meli yetu ipone??
Game ya burnley tulicheza vizuri na tukacreate chance nyingi tu za kutosha tukashindwa zitumia,same game ya everton, hata game ya man utd tulicheza vizuri ila shida ikawa kwenye umaliziaji.

Game za hivi karibuni, hatuchezi vizuri na wala hatucreate chance zozote,

Ancellot alifukuzwa msim wake wapili kisa tu kutokuwa anampanga torres,

Tuchel anachofanya sas nikuendelea kumbeba lukaku, na kuficha makosa ya MARINA + BOARD.

Watakuja makocha wengi tu ila board yetu ndio itakuwa inawafelisha kwa sababu haiwapi wachezaj wanaowataka na kuendelea kuwakumbatia wachezaj ambao washajichokea kisa tu akitaka apate faida katika mauzo.
 
Adjustments.jpg
 
Na kibaya zaidi tulikua tunajisifu huku wafungaji wetu wakiwa ni mabeki yaan beki zinagoal nying kuliko washambuliaji

mkuu uko sahihi kabisa unakumbuka yote vizuri.

Mkuu iliuchukue ubingwa kwa timu zetu hizi wachezaji tegemezi hawatakiwa kuwa wanaukia kila wakati bali wanatakiwa kuwa na uwezo wakucheza mechi zote 38.

Mo salah,VVD ,robertson na Mane wanauwezo wakucheza mechi zote 38 bila kuumia.

Sasa chelsea wachezaji wanaowategemea kila wakati puncher tu.reece james amekosekana saizi Chelsea watuwakumwaga maji wa maana hakuna,

Kovacic na kante hawanauwezo wa kucheza mechi zote 38 bila kuumia,sasa kama ndio hivyo lazima utayumba tu.
 
Kwani Carabao umefikaje fainal kama siyo Kwa penati karibia mechi 2 kama siyo tatu?

KUBALI uwezo wa timu ni mdogo TU
acheni kusingizia majeruhi na uviko.maana Kila timu hao watu inao.
Si nyie mlisema Mna kikosi kipana!
Siku hizi sio tena kikosi kipana, Sasa hivi wana utumbo mpana.
 
Kova sio wa kumuuza, uza Jorginho leta mshindani wa Kova ilia Kova apate rotation kwa sababu poor results yake mara nyingi anachoka, siku akiwa na nguvu anaibeba sana timu ni kule mbele wanaharibu

Leta huyuy hapa

Chelsea lead Tchouameni race

Tchouameni ana miaka 21 tu na anazo quality zote za Kante Plus Fabregas combined labda aje kubadilika
Huyu MTU naombea wasilisikie dua LAKO maana mkimpata NI TATIZO kwetu...huyu NI MTU na nusu... ANAJUA
 
Asked to explain the recent poor league form, Tuchel replied: “I answered this question a hundred times, if you look at our situation of long-term injuries, of key players injured, and of Covid and you look at our schedule you will have the answer.

“We are mentally tired and physically tired, you can see it in our performance, it’s as easy as that. We need to recharge the batteries, we need to reconnect.

“This is my feeling, that’s why I give the players two days off and then we will use Friday and Saturday to prepare for Sunday.”
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom