Heehee wewe kama OllaChuga Oc unazungumziaje kuhusu game ya leo.View attachment 2087241
Huyu ni ndugu yetu kabisa kutoka viunga vya OT paleNajua mwanangu DANNY WELBECK huwezi kuniangusha....
Sent from my PBBM00 using JamiiForums mobile app
Bado big picture ndio hiyo, injuries au Covid-19 haijaadhiri wala haiadhiri Chelsea tu, ni janga la wote. Tuache kusingiziaKumbuka liverpool waliomba game zao kuwa postponed na wakakubaliwa but chelsea kuna game tuliomba ihairishwe tukakatalia
Kumbuka game ya wolves tulicheza huku sub tukiwa na wacheza wanne kama sijakosea huku kati yao wakiwa makipa wawili,
Huu ukuni aliokupachika ZIYECH unausikilizia ukiwa wapiHuyu ni ndugu yetu kabisa kutoka viunga vya OT pale

