Umeamua uweke ushabiki maandazi pembeniIla Chelsea kwa sasa mpo moto vibaya
Au ndo mfumo anaofit zaidi? Maana Jana Tuchel alikuja na 4-2-2-2Yah na Ziyech pia na MOTM imeenda kwa Ziyech jamaa Jana alijitoa Sana katengeneza nafasi 3 za wazi lakini pia alikuwa anasaidia kukaba pale team inapokuwa haina mpira, sijawahi kumuona Ziyech anakaba kama jana
Sidhani tatizo ni mfumo ndio unamzuia Ziyech asishine kwasababu ataakicheza mfumo 343 still anacheza nafasi ile ile alivyokuwa anacheza AjaxAu ndo mfumo anaofit zaidi? Maana Jana Tuchel alikuja na 4-2-2-2
Cheki hii takataka..walete hao man Shityee tuwanywe damuNext game tarehe 15 wana Man City halafu anakuja Tottenham.
Hapo kuna sare moja na kipigo kimoja.
Hawa Europa inawahusu kabisa msimu ujao.
Jana Tuchel alimpanga Ziyech kama Wing-back ila hakuweza imediately formation ikabadilishwa kwenda back 4 ya 4-2-2-2. Cha kushangaza jana hata Sar alicheza vizuri, ila Spurs jana walikuwa kama vile ni wachovu, Conte kapanga timu ile ile, aliyebadilishwa ni Tanganga tu. Kwa hiyo uchovu wa ligi jana ulikuwa dhahiriYah na Ziyech pia na MOTM imeenda kwa Ziyech jamaa Jana alijitoa Sana katengeneza nafasi 3 za wazi lakini pia alikuwa anasaidia kukaba pale team inapokuwa haina mpira, sijawahi kumuona Ziyech anakaba kama jana
Cheki hii mbuzi..nunueni wakina lokonga na pepe kale wengi mutakuwa mabingwa msimu ujaoYaani ninunue mchezaji akitoka hapo aniongelee matusi? Ujinga huo wanauweza chelsea tu
Sisi tutakua mabingwa msimu ujao nyinyi vinega mnakua mabingwa lini? Jinga kabisaCheki hii mbuzi..nunueni wakina lokonga na pepe kale wengi mutakuwa mabingwa msimu ujao
Mara ya kwanza akaja vinega mkapaki basi 😅😅 mkasachiwa hadi mkaachia point 3Cheki hii takataka..walete hao man Shityee tuwanywe damu
Umecheki fixture yetu? Izo game zote tunashinda tena ushindi mnono ..nyie arse8 endeleeni kujenga timu kwanza.Mara ya kwanza akaja vinega mkapaki basi 😅😅 mkasachiwa hadi mkaachia point 3
Sema 4-2-2-2 in possessionAu ndo mfumo anaofit zaidi? Maana Jana Tuchel alikuja na 4-2-2-2
Dah!Sisi tutakua mabingwa msimu ujao nyinyi vinega mnakua mabingwa lini? Jinga kabisa
Unasemaje kinega weweDah!
Yule kocha anaejiita mwL wa TT anatakiwa ajifunze kwa mwanafunzi wake namna ya kutumia mfumo wa 4222 umeona Jana ulivyotumikaSema 4-2-2-2 in possession
Shida sio instructions ni execution, are they willing to do the stuff?Yule kocha anaejiita mwL wa TT anatakiwa ajifunze kwa mwanafunzi wake namna ya kutumia mfumo wa 4222 umeona Jana ulivyotumika
Mbona carrick wachezaji waliokuwa wanamtii kwanini si yeye huoni hapo there something is wrong?Shida sio instructions ni execution, are they willing to do the stuff?
Rangnick anaongea kuhusu 'body language' his players are not ready to do the stuff
Sina neno mkuu zaidi ya kushangaa tuUnasemaje kinega wewe
Hujaelewa hata nilichokiandika, sijui Kama unafahamu hata timu yenu inapokwenda na ilipotoka...Acha kutupaka mafuta kwa mgongo wa chupa. Safu yetu ya ushambualiaji ni mbovu inabahatisha kufunga magoli.
Tunahitaji kufanya sajili kuondoa utoto pale mbele.
Kwa kweli aiseeeee.....Yule kocha anaejiita mwL wa TT anatakiwa ajifunze kwa mwanafunzi wake namna ya kutumia mfumo wa 4222 umeona Jana ulivyotumika