Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Mi sioni wapi Ibrahimovic kaongopa kuhusu chelsea kununua mafanikio.

Mpaka sasa imetumia 2.4B ikifuatiwa na City iliyotumia 2.3B.

Lukaku kuongea ukweli kwanini iwe dhambi?

Mimi kukubali ukweli wa Lukaku kwanini nionekane hater?

Au hujui maana ya hater?
Wewe sema wananunua mafanikio wakati wenzako uwekezaji

Kama tunanunua na nyie kanunueni uwezo si mnao klabu tajiri ina wachezaji wa pauni milioni 2-5 haahahaha
 
Thom aliwahi sema ni rahisi kuisimamia chelsea kuliko PSG as PSG utatakiwa kusimamia mastar mpaka marafiki na ndugu zao nafikiri man management ya Thom siyo nzuri.

Makocha wengi wangemdrop Lukaku na kocha kama Ferguson anakutoa kwa mkopo Norwich.
Umemnukuu vibaya alisema ni rahisi kumsimamia Lukaku kuliko mbappe na neymar kwasababu unatakiwa lazima uwasimamie marafiki hadi ndugu zao wa neymar na mbappe hakuja team kama ulivyosema wewe
 
Wewe sema wananunua mafanikio wakati wenzako uwekezaji

Kama tunanunua na nyie kanunueni uwezo si mnao klabu tajiri ina wachezaji wa pauni milioni 2-5 haahahaha
Kumbe unajua kama ndiyo mko hivyo sasa kwanini nimpinge Ibra?
 
Umemnukuu vibaya alisema ni rahisi kumsimamia Lukaku kuliko mbappe na neymar kwasababu unatakiwa lazima uwasimamie marafiki hadi ndugu zao wa neymar na mbappe hakuja team kama ulivyosema wewe
Its true alitamka ulichoandika isipokua context ni hiyo niliyoisema
 
Ibrahimovic ni lijingajinga

Aliwahi sema Chelsea inanunua mafanikio kwa pesa still likaenda psg kufata pesa na likaenda marekani kwenye soka bovu kufata pesa

Sasa kama unakubaliana na maneno ya Ibrahimovic basi jichunguze mwenyewe kama.uko sawa

Lukaku alikuja chelsea coz inter wana matatizo ya uchumi waliuza wachezaji tegemeo wengi tu na hii ilimfanya conte aachane nao coz hakutaka hilo litokee

Chelsea plan zake zilikuwa kwa Halaand wala sio lukaku.halaand alikuwa ana thamani ya zaidi ga 150m negotiation hazikwenda vizuri na zaidi halaand mwenyewe haipendi ligi ya uingereza(kiazi ndezi)

Ndio tukaangukia hapo kwa hiko kiroba

Kisa kanunulia kwa pesa ndefu akaana kujiona mkubwa kuliko timu analeta kiburi na kuongea shits inashusha morale ya timu .

Tulikuwa kuwa na Torres alinunuliwa kwa rekodi ya mauzo kipindi kile lakini hakuwa mpiga domo

Torres wa Liverpool sio wa Chelsea maana Liverpool alikiwa mashine hasa

Ila hadi leo torres anaipenda Chelsea kweli kweli over Liverpool coz alkuwa na good moments ndani ya Chelsea japo kuwa hakufunga mara kwa mara na amshinda makombe ndani ya chelsea

Mcheki fabregas yule wa asernal dogo mmoja anapiga soka matata sana kuanzia iliyokuwa highbuy hadi emirates

Lakini fabregas anaipenda Chelsea kuliko hio aser8 iliyomtoa la masia hispania(mfatilie insta utaelewa) unajua kwanini!? .Chelsea imempa makombe imemuheshimisha kama mchezaji .

Nenda kamcheki girioud uone. Alipokuwa asernal alikuwa anagonga magoli daliy ila makombe ziiiiiii!!!

Alipokuja Chelsea kashinda makombe .Giroud ana kumbukumbu nzuri za maisha ndani ya Chelsea haishi kuizunguzmia chelsea na ana washikaji kibao Chelsea .

Sasa lukaku hajifunzi analeta ujuaji wakati hana alama yoyote ndani ya klabu

Asepe zake
Umemaliza kila kitu mkuu usisahau pia ashley Cole hata kutaja tu jina la Arsenal kwa bahati mbaya haitaji japo ndio team iliyomlea lakini mapenzi yake yapo kwa Chelseafc
 
Mi sioni wapi Ibrahimovic kaongopa kuhusu chelsea kununua mafanikio.

Mpaka sasa imetumia 2.4B ikifuatiwa na City iliyotumia 2.3B.

Lukaku kuongea ukweli kwanini iwe dhambi?

Mimi kukubali ukweli wa Lukaku kwanini nionekane hater?

Au hujui maana ya hater?
Ndo mpira umebadilika kama mmeshindwa na nyie kutumia fedha msiwabeze wengine....km unaona utachukua vikombe vikubwa na kina nketiah, lokonga na Ben mweupe Sawa
 
Ukiingia Facebook Bio ya Lukaku ni short and clear

View attachment 2066676
1641219899020.png
 
“I've kissed the Chelsea badge, Everton badge, West Brom badge, Man United badge but none of them tasted like the Inter badge"
20220102_182538.jpg
 
Kuisifia timu pinzani inapocheza vizuri ni ustaarabu wa kawaida wa mashabiki, ebu fuatilia mashabiki wa Liverpool wanavyomsifia Kante na Kovacic
1641221659669.png
 
Tuchel on Lukaku after Liverpool Game

‘We need to evaluate the situation and not listen to the media and not listen to the pressure but understand what he said, which is why there is the meeting tomorrow,’ Tuchel reported.

‘From there we will take the decision. If the decision is he is good to go for Wednesday, this is the decision, but I cannot tell you right now because we need to talk and understand the situation better and then from there we go once the situation is clear. There is no doubt he will stay our player and we will also protect our player.’
 
RLC na Lukaku wamerudi mazoezini
Hakuna nafasi ya Lukaku kuuzwa januari au msimu wa kiangazi
1641240355219.png
 
Pamoja na kwamba Lukaku alifanya makosa kufanya ile interview na Sky Sport Italia ila mimi naona ilikuwa ni sawa kumuweka kocha sawa
Tukumbuke kuwa hata Conte aliwahi kutoa coment kuwa Lukaku hatumiwi ipasavyo hapo Chelsea
Hii interview itamlazimisha sasa Tuchel afikiri namna mbadala ya kumtumia Lukaku kwa faida ya timu
Conte alikuwa akimtumia Lukaku kwenye dyanamic role (especially zinazorelate na counter attack kama wengine walivyokwisha sema huko nyuma) lakini pia role nyingine ni kuhakikisha kuwa mipira inapelekwa nyingi kwa Lukaku, iwe ni kwa counter, long bals au short passes ziende nyingi.
Mimi naamini Lukaku akipelekewa krosi 5 moja itazaa goli
Akipelekewa pasi nzuri 5 moja itazaa goli iwe kwa njia ya penalti au assists and yeye mwenyewe kufunga
Hii ya kumuacha Lukaku awe static uwanjani hadi dk 90 haikubaliki kabisa
Kwa jinsi inavyoelekea, Luakau atasamehewa na atarudi kujiunga na wengine, lakini mark my words, uchezaji kule mbele utabadilika, na Lukaku atakuwa na deni kubwa la kuprove uwezo wake kama sehgemu ya kufuta hisia mabya za hasira iliyowaingia mashabiki baada ya yale maoni yake kwenye interview

Tumtegemee Lukaku mpya, magoli mengi kama alivyoanza kwenye mechi za Aston Villa na Brighton

TT ameiambia BBC Sport kuwa jumatatu, yaani leo, angekaa na Lukaku ili wajadiliane majukumu yake pale mbele kwa msimu uliobaki

The manager has since confirmed, per BBC Sport, that he is set to sit down with Lukaku on Monday in order to discuss his role at the club for the remainder of the season.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom