42774277
JF-Expert Member
- Aug 24, 2018
- 6,835
- 8,874
Huyu aliwahi sema tukichukua yuefa anatugawia yeye pamoja na mke wake.Kinachokuwasha ni nini
Sasa unadhani kuna mtu hapo?
Huyu aliwahi sema tukichukua yuefa anatugawia yeye pamoja na mke wake.Kinachokuwasha ni nini
Wala usingemjibu mkuuu ungekausha tu kma hatumuoniKinachokuwasha ni nini
Kumbe jamaaa ni Papai bichi bas ngoja aliweHuyu aliwahi sema tukichukua yuefa anatugawia yeye pamoja na mke wake.
Sasa unadhani kuna mtu hapo?
Naona cheltako mnafarijiana hapo kipigo akikwepeki leoKumbe jamaaa ni Papai bichi bas ngoja aliwe


Wanaji isolate kwa siku 7 hopeful baada ya hizl siku 7 watakuwa negativ,Kante na Thiago Silver wako suspected na covid....
Aiseee mbona match ya City itakuwa ngumu sana kama hawatopona mapema?
Acha kulialia kazeniKante na Thiago Silver wako suspected na covid....
Aiseee mbona match ya City itakuwa ngumu sana kama hawatopona mapema?
Hivi mnadhani mtawafunga man city?Kante na Thiago Silver wako suspected na covid....
Aiseee mbona match ya City itakuwa ngumu sana kama hawatopona mapema?
Bahati yenu mnaongoza kwa bao 2 hadi sasa kama mchezo usipobadilika.The loss of Kante & Thiago to covid is massive.
Anyway, mama mtumishi ataniangalizia huku akinicheka
I am extremely tired & sleepy
Labda mpande juu ya baiskeliHivi mnadhani mtawafunga man city?
Lazima wawatandike tu halafu sisi tunapanda pale juu.
Ewaaaaa, naweza kuuchapa sasaBahati yenu mnaongoza kwa bao 2 hadi sasa kama mchezo usipobadilika.
Wakirudisha hawa jamaa basi kesho jiandae na nyimbo za mama mtumishi.
Sasa subiri tuirudie nafasi ya 2..nunua pamba kabisa za kuziba masikioLabda mpande juu ya baiskeli
Saul Mbona kakichafua Mzee...Afu buda timu yetu sahv imekumbwa n majeraha( chalobah, Christensen), covid cases( Silva, kante)... sasa TT atafanyaje Mzee?....na naona Leo ameswitch kwenye back 4 n tumecheza freshSpurs wameweka full mkoko ila sisi tunazingua unajua kabisa kupata kombe la ligi kuu ni ngumu makombe kama carabao ndio zakusomba unampanga mtu kama saul , sarr unamuweka benchi Kovacic seriously?
Nawaza tu hizo nyanya ungempa dada yako akampikia mumewe si ungefanya dada apendwe ili na ww uendeleaaa kula bure ssa umezichezea allypipiAcha kulialia kazeniView attachment 2069948
Sasa mwanaume unaitwa pipi akili unazitolea wapiCheltako kupona leo ni ngumu sana kwani nasema uongo ndugu zangu.![]()