lembu
JF-Expert Member
- Dec 31, 2009
- 19,380
- 25,482
Lile goli la Pulisic dhidi ya Liverpool jamani ilikuwa na vioja vya ajabu.
Mtangazi ilipofungwa tu goli alisema kwa sauti kubwa "Happy New Year"
Goli la Kovacic sijasikia kasema nini ila hilo la Pulisic na kwa jinsi pasi ilivyoanza kwa Rudiger ikaenda kwa Kante halafu Pulisic nakamalizia kwa hasira kali ndipo ikasikika sauti kubwa na ya mhemuko ikisema HAPPY NEW YEAR

️