Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Substitution werner in havertz out! Second half begins!
 
Dah jana sijaangalia match... Nasikia Saul kakiwasha...

Ni kweli mazee?
Yah na Ziyech pia na MOTM imeenda kwa Ziyech jamaa Jana alijitoa Sana katengeneza nafasi 3 za wazi lakini pia alikuwa anasaidia kukaba pale team inapokuwa haina mpira, sijawahi kumuona Ziyech anakaba kama jana
 
Aiseeee I hate kwann sikuangalia...
Game nzima tulicontrol sisi tuliwawin maeneo yote kane, son na lucas moura wote waliwekwa kwenye Pocket bila kusahau second ball karibia zote tuliwin sisi tuliwafanya spurs iyonekane kama team ya ligi ya tatu au nne huko bahati mbaya kwetu hatukuwa makatili mbele ya goal finish yetu ingekuwa nzuri tungemaliza mechi tukiwa tumeshinda 5 kwa nunge
 
Nimeangalia Highlight ya kama Dakika 20...

Aiseee kweli tulikuwa moto... .
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom