lembu
JF-Expert Member
- Dec 31, 2009
- 19,383
- 25,483
Huyo dogo Hall anacheza vizuri sana kama vile mzoefu, nafikiri TT amemuona ili ampe muda mwingi zaidiDgo HALL ANACHEZA VZR SSN
Huyo dogo Hall anacheza vizuri sana kama vile mzoefu, nafikiri TT amemuona ili ampe muda mwingi zaidiDgo HALL ANACHEZA VZR SSN
Leo walicheza 3-4-2-1 na sio 4-2-2-2HALL ni box to box mid, primarily.
Lakini ameitendea haki LB
Babe hivi mechi mnazocheza na wanyonge nazo unanitambia?
No babeBabe hivi mechi mnazocheza na wanyonge nazo unanitambia?
😂😂😂😂😂No babe
Sio kukutambia
Point yangu ilikua moja tu, kuhakikisha na wewe umehidhuria hii tafrija fupi 🤣🤣
Hatujashinda tu...😂😂😂😂😂
Babe unaninyanyasa na Chelsea yako.
Haya sawa mmeshinda😂😂
Babe niache bwana😂😂😂😂Hatujashinda tu...
Ila tumeshinda ushindi mzito. Usipindishe maneno 😂😂
Sukuachi mpaka unyooshe maelezo 🤣🤣Babe niache bwana😂😂😂😂
Kwa timu gani mliyonayo babe?Sukuachi mpaka unyooshe maelezo![]()

Kuna kinda linaitwa HALLKwa timu gani mliyonayo babe?![]()
Naam mkuuLeo walicheza 3-4-2-1 na sio 4-2-2-2
Sarr, Christensen na Hall wamecheza kama CB
Ziyech Wing-back wa kulia na Odoi Wing-back wa kushoto
Line up ilikuwa hivi
---------------------------Lukaku------------------------------
Werner --------------------------------------------------Pulisic
Odoi------------Kovacic ------------- Saul ---------Ziyech
Hall --------------------Christensen ------------------Sarr
----------------------------Bettinelli------------------------
Sawa bwana😂Kuna kinda linaitwa HALL
Ni hybrid ya in-form Henderson wa Klopp.
The next big thing in Europe
Fabrizio Sio MUngu Mkuu!Fabrizio anaongelea Arsenal tu, Chelsea imesinyaa sijui kwa nini
NileteeniSawa bwana😂
Umefuraaahi😂😂😂😂