Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chalobah leo katuuza, Chelsea imeruhusu magoli ya kijinga tofauti na tuliyofunga sisi
 
1641149055950.png
 
Tuendelee na ile episode ya LUKAKU, je adhabu imeisha au bado ianendelea?
 
Kwa mara ya kwanza leo niwapongeze kwa kupindua meza na kuupiga mwingi kipindi chote cha pili.
Baada ya zile goli mbili za Mane na Salah nilitegemea mtapoteana na kupigwa goli nyingi ila mmejitahidi mkaweka Ungese wenu pembeni na kupindua meza.
Pongezi za dhati zimuendee Ng'olo Kante huyu jamaa ni zaidi ya kiungo, isingekua majeruhi ya mara kwa mara alistahili tuzo ya mchezaji bora.
 
Chelsea yangu mimi nilishaiondoa kwenye ubingwa. Nilishasema Chelsea ikidrop point mechi tatu december ubingwa tena basi.
Alidrop kwa Westaham, ikaja kwa Everton, ikaja kwa Wolves mwisho kwa Brighton. December tu kadrop point 9 kwa mechi 4 halafu unategemea aje kushindana na City aliyeshinda mechi 11 mfululizo na bado anaendelea kushinda.

Chelsea kwa sasa waungane tu bila kuona aibu na Spurs, Arsenal na Liverpool kwenye top 4
Binafsi nimeitoa kwenye mbio za ubingwa unless shit wakutana na shit kweli kimavi
 
Mendy kuna wakati anaboa, hata goli la Salah hakuweka juhudi yeye na Alonso na Chalobah.
Karudie kuliangalia hilo goli. Salah aliwadanganya wakapotea maboya. Chalobah kile kichwa sijui alitaka kuvumbua nini. Ila kwenye kufunga hata angekuwa Buffon angeweza kufungwa tu. Salah ni hatari yule raia!
 
Next game tarehe 15 wana Man City halafu anakuja Tottenham.
Hapo kuna sare moja na kipigo kimoja.
Hawa Europa inawahusu kabisa msimu ujao.
Pole sana. Man City amfunge Chelsea? Chelsea ni moto wa kuotea mbali ni club Bingham na bora Duniani mkuu. Chelsea siuo Arsenal.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom