Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Hakuna sehemu nilikootodhesha timu. Umetaja timu kwa kutumia hisia zako na umeitaja psg kwavile unahisi kuna majina makubwa basi watatajwa kama timu bora. Nimesema Juventus kwasasa wana struggle hawako kwenye form kwasasa.
Timu gani ambayo haistruggle.

Tutajie timu zinazostruggle na timu ambazo hazistruggle halafu utuambie Chelsea unaiweka kundi gani hapo.
 
Umesahau tulivokuja kubomoa Hilo daraja hapo Stamford bridge huku mkitoka na 0 shot on Target


Nyie Chelsea mnakutana na vibonde tu ,mkikutana na wanaume wa shoka ,mnakaaa na kuomba poooo .....!
Mnabomoa daraja ila sisi twawa washindi wa vita
 
Umesahau tulivokuja kubomoa Hilo daraja hapo Stamford bridge huku mkitoka na 0 shot on Target


Nyie Chelsea mnakutana na vibonde tu ,mkikutana na wanaume wa shoka ,mnakaaa na kuomba poooo .....!
Una sahau vipi Chelsea kukufunga three times mpaka tunachukua UEFA kwenye mdomo wako tunakuacha na udenda Acha kujisaulisha dogo. Kwanz wewe unatakiwa ubishane na kina Malmo, Barnely, Bradford, Sherrif ndiyo saizi yako
 
Na ligi mzima ya England ina timu za kawaida sana ndio maana chelsea anaongoza ligi na ameruhusu kufungwa magoli manne tu kwenye mechi 12 alizocheza.

Kwenye sifa si mbaya kusifia, roho mbaya na husda hazijengi hata kidogo.

Credit kwa TT na Chelsea yake.

Keep the blue flag fly higher.
Umemjibu kisomi sana, akirudi kujibu uni tag tafadhali
 
Ziyech akiendelea kugawa pasi za upendo sambamba na kuonesha kiwango kizuri tutamsahau kumtaja Fabregas kwenye mijadala yetu
Huko nyuma alikuwa hafanyi hivi, sasa naona kashtuka yule Ziyech wa Ajax anaanza kurudi
 
Mkuu siyo baada ya kukontrol alimpasia Rau then Rau ndiyo kamtengea Odoi....au mimi ndiyo sijaona mkuu angalia hap juu
Raul hakuucheza kabisa hata kwenye build-up, ilianza kwa Rudiger, ikaenda kwa James ambaye naye alimpasia Ziyech, Ziyecha akamtengea RLC ambaye kaucheza huo mpira tena kwa kucontrol kwanza ndipo akammegea Odoi pasi nzuri ambayo ilikuwa rahisi kwa Odoi kumalizia.
 
Chelsea bingwa wa ulaya msimu uliopita sio huu, msimu huu ndio bingwa anatafutwa. Mlimfunga bingwa wa Spain, England na bingwa wa kihistoria wa UEFA lini? Maana nakumbuka Chelsea imecheza na mshindi wa Europa league ambaye villareal na kushinda kwa penati baada ya kutoka sare moja moja. Kwa kutumia kigezo ambacho wewe umekitumia kwa kulinganisha na man u, je unasemaje baada ya man U kushinda mechi zote mbili dhidi ya villareal ndani ya dakika 90?
Mpaka apatikane bingwa mwingine mbali na Chelsea ndio Chelsea itaacha kuwa bingwa wa Ulaya ndugu wacha kujisahaulisha akili
 
Hahahaha hahah walete hao nyumbu tuwale nyama
Ma nzi yamepotea kabisa humu😂😂😂😂
 
@thiagosilva stopping Morata from scoring against his old club Chelsea with the game at 1-0. Makes sense that we got Thiago for free because that man is priceless


FB_IMG_1637749142728.jpg
 
Raul hakuucheza kabisa hata kwenye build-up, ilianza kwa Rudiger, ikaenda kwa James ambaye naye alimpasia Ziyech, Ziyecha akamtengea RLC ambaye kaucheza huo mpira tena kwa kucontrol kwanza ndipo akammegea Odoi pasi nzuri ambayo ilikuwa rahisi kwa Odoi kumalizia.
Samahani niliangalia vibaya. Nimecheki alikuwa Cheek
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom