Pain killer
JF-Expert Member
- Aug 15, 2017
- 14,360
- 21,713
Bora wewe umekubali ,ila Kuna kunguni hazielewi kabisa ,ule Moto uliowaka pale Stamford bridgeNakubali tumefungwa. Kufungwa na Gardiola ni kawaida. Gardiola ni kocha mzuri duniani pia kumfunga kocha mwenye ubora mara nne si jambo jepesi. Naamini next tunashinda kama kawaida yetu.
Mpira ni mbinu kila timu inaingia uwanjani kutafuta point 3. Anaye shindwa mbinu unyanganywa point zote tatu wakiwa na mbinu sawa Wanagawana points.
So niwapongeze sity kwa ushindii na kuchukua points zote tatu. Tukutane Etihad second round.
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app









Sports Doctor - Dr. Rajpal Brar, DPT

#Juventus #CFC