Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Utasikia et "tunaenda kuchukua CL kwa mara ya pili " labda CL ya buza kudadekii .....

Chelsea ni timu ya kawaida Sana ,Tena sanaa ,haijakutana na Moto wa city ,buyern ,psg ,Liverpool ......

Kwa nyie kenge nataman tukutane Tena CL hata robo final au semi final kabisa ...
Chekini hii ndorobo🤣🤣🤣🤣😂😂
 
Chelsea bingwa wa ulaya msimu uliopita sio huu, msimu huu ndio bingwa anatafutwa. Mlimfunga bingwa wa Spain, England na bingwa wa kihistoria wa UEFA lini? Maana nakumbuka Chelsea imecheza na mshindi wa Europa league ambaye villareal na kushinda kwa penati baada ya kutoka sare moja moja. Kwa kutumia kigezo ambacho wewe umekitumia kwa kulinganisha na man u, je unasemaje baada ya man U kushinda mechi zote mbili dhidi ya villareal ndani ya dakika 90?
We mlevi tupishe tu humu!
 
Hata Crystal Palace amemnyuka man city kaangalie sisi tumenyuka ngapi crystal palace.
Kwa maelezo haya ,umeonesha hadharani kabisa kuwa wewe humo kichwani ni zero brain ,huna unalojua kuhusu football ....kilaza level za STG
 
Kwa maelezo haya ,umeonesha hadharani kabisa kuwa wewe ni humo kichwani ni zero brain ,huna unalojua kuhusu football ....kilaza level za STG
Mume wako psg anakusubil umpelekee kitumbua hicho leo usiku alaf hupo huku kwa wanaume unatembea na kanga moja
 
Chelsea bingwa wa ulaya msimu uliopita sio huu, msimu huu ndio bingwa anatafutwa. Mlimfunga bingwa wa Spain, England na bingwa wa kihistoria wa UEFA lini? Maana nakumbuka Chelsea imecheza na mshindi wa Europa league ambaye villareal na kushinda kwa penati baada ya kutoka sare moja moja. Kwa kutumia kigezo ambacho wewe umekitumia kwa kulinganisha na man u, je unasemaje baada ya man U kushinda mechi zote mbili dhidi ya villareal ndani ya dakika 90?
We dada endelea kuangalia tamthilia ya Kulfi hapo kwa shemeji yako huku unapausha kijora chako bure
 
Wewe zwazwa unayejua mpira timu yako inashika nafasi ya ngapi?
Sasa kuongoza league kwa toafauti ya point 3 unavimba mbele ya wanaume ...

Watu tuashaongozaga league kwa toafuti ya point 20 ,sembese nyie vigwagula wa Londoni kudadadadekiiiiii....
 
Sasa kuongoza league kwa toafauti ya point 3 unavimba mbele ya wanaume ...

Watu tuashaongozaga league kwa toafuti ya point 20 ,sembese nyie vigwagula wa Londoni kudadadadekiiiiii....
Timu yako ni takataka fala wewe....

Shabiki maandazi, Mume wako PSG anakubiri amalizie mzigo wake maana anasema siku ile ulilalamika sana wakati anakutoa Bikira.
 
Ha ha ha ha......

Basi mkuu Kwa sisi tunaojua mpira vzr imebaki swala la kupiga soga tu km hivi...

Mimi nawaambia wazi kabisa kwa kiwango cha Chelsea walichonacho sasaivi..... Wanaenda kubeba UEFA tena....

Wewe jiulize ni timu gani inaweza kuizuia Chelsea kwa sasa?

Tujiulize tu hivo yaani unacheza na watoto kutoka Chelsea Academy huku milioni 150 pounds yaani Lukaku yuko nje ala Banuchi na Fredricco Chiessa wanalambishwa nyasi na kwenda kulala hoi na viatu....

Ha ha ha ha hii ni zereu ya hali ya juu sn... Chalaboh kamfunika kabisa Chiessa huku Odoi anamgeuza geuza Banucci atakavyo....

Duh ukisikie kuuishi mfumo wa uchezaji aliokua anausema Tomasi Tuko ndio hii sasa....

Aisee cobham imekuwaje mbona watoto wengi kwenye ligi wanatamba
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom