Mangungo II
JF-Expert Member
- Jul 6, 2012
- 18,174
- 26,913
Mnabomoa daraja ila sisi twawa washindi wa vita
Hata iddi Amin alibomoa daraja la mto kagera ila alipigwa ru


Mnabomoa daraja ila sisi twawa washindi wa vita


Huyo mess sijui Neymar hawatapiga hata shot moja on TargetHii Gemu Messi anawatoboa




Duuuh, kwaa maana hiy january ndi0 itajulikana kama anaweza fanyiwa upasuaji or lah incase akifanyiwa ndio msim wake umeisha hapo mpk next season, Mungu saidia tu asifanyiwe upasuajiChelsea are sweating over the results of Ben Chilwell’s scan as damage to the full-back’s anterior cruciate ligament could rule him out for between six and nine months. Fingers crossed that it will be not as bad as we all fear.View attachment 2022203

natumai anko tom atakuja na njia tofauti 


















Duuuh, kwaa maana hiy january ndi0 itajulikana kama anaweza fanyiwa upasuaji or lah incase akifanyiwa ndio msim wake umeisha hapo mpk next season, Mungu saidia tu asifanyiwe upasuaji
Tunarudi kwa alonso sasanatumai anko tom atakuja na njia tofauti
Get well soon chilwelView attachment 2022374





Jumapili tunafukuza mapepo.Leicester vs Chelsea: 0-3
Chelsea vs Juventus: 4-0
Chelsea vs Man United :️
![]()
Taarifa mbaya Sana hii ..hatutaki futilia mbali hili no pepoDuuuh, kwaa maana hiy january ndi0 itajulikana kama anaweza fanyiwa upasuaji or lah incase akifanyiwa ndio msim wake umeisha hapo mpk next season, Mungu saidia tu asifanyiwe upasuaji
Tunarudi kwa alonso sasanatumai anko tom atakuja na njia tofauti
Get well soon chilwelView attachment 2022374




Inaelekea chelsea wanakutesa sana we dada, mana unaweweseka sana. Shida nini?Man utd wakiwaamkia vizur jumapili mtajua hamjui ....
United fanyeni yenu aisee![]()
Shida ni timu ya kifala Kama hii kuongoza league wakati hawana uwezo ,Inaelekea chelsea wanakutesa sana we dada, mana unaweweseka sana. Shida nini?



Ikifika j2 jioni hili jukwaa litakuwa jeupe... wewe wajaze tu ujinga ndugu zako...Man utd wakiwaamkia vizur jumapili mtajua hamjui ....
United fanyeni yenu aisee![]()
Wewe mwenye uwezo timu yako inashika nafasi ya ngapi?Shida ni timu ya kifala Kama hii kuongoza league wakati hawana uwezo ,![]()

Tupo mkuu mi nawaandaa tu kisaikolojia.Man utd wakiwaamkia vizur jumapili mtajua hamjui ....
United fanyeni yenu aisee![]()