Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Ikumbukwe tu kuwa Juventus anashika nafasi ya nane kwenye ligi ya serie A na Leicester city nao walishafungwa mpaka na Arsenal goli mbili.
Asante kwa kuja tupige story kidogo....

Yaani ni balaa hii Chelsea... Nawaonea huruma sn Utd Mimi jamami.... Maana lori la mkaa linaporomoka kitonga sasa na limekata break....
 
Tulichukua ubingwa wa UEFA mwaka 2012 ikiwa team yetu inashika nafasi ya 6 kwenye ligi kwako hili unalizungumziaje?
Ni mazingira mawili tofauti, Chelsea ilishika nafasi ya sita ni sawa ila kuna kocha aliyesababisha mpaka Chelsea ifikie hapo. Kisha inafanyika mabadiliko ya benchi la ufundi anakuja T.T ambaye anaifanya Chelsea imalize nafasi ya nne. Tofauti na hali iliyokuwepo kwa Juventus, Allegri ameanza na timu kwanzia msimu huu unaanza na mpaka sasa bado ana struggle kuirudisha juve katika ubora na ndio maana kwenye msimamo anashika nafasi ya 8 kwa tunaofuatilia serie A tunaijua kuwa zama za Juventus zimeisha ila kwa wanaangalia uefa champions league peke yake wataona kama ni timu bora kwavile tu wamepata ushindi katika mechi nne za hatua ya makundi.
 
Huruma gani wewe subiria tu jumapili utaona Cha moto.

Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
Jamani hebu mtafutieni huyu ka juice au atulize hasira kidigo au km anatumia urabu amtafute Piere Liquid wagonge bapa moja kubwa....

Mweeeeh! Yaani Carrick j2 anakuja huku analia na tunaka tumfunge goli tano kabisa ili Utd mkome kuwapa watoto timu.

Sisi na akili zetu na mpunga wetu tulimwambia Lampard hapana hebu kaa pembeni.... Sisi sio timu ya majaribio au watu kujifunzia ukocha....

Sasa nyie fanyeni tu majaribio muone cha moto.....

Nakwambia kabisa tunakufunga goli tano yaani Hamsa kwa kiarabu na kizyungu ni five.... Na kwa kisukusu itano....

Ha ha ha na kwa kjtariano haha haha Chinkwe ha uuuuuwi mbavu zangu jamani
 
Lile goal la Odoi, RLC alicontrol mpira vizuri sana katikati ya msitu wa mabeki wa Juve halafu akamtengea Odoi...

Aiseee Jamaa Na Ball control nzuri sana.
Mkuu siyo baada ya kukontrol alimpasia Rau then Rau ndiyo kamtengea Odoi....au mimi ndiyo sijaona mkuu angalia hap juu
 
We ndelea kuvimbisha hilo fuvu lako kwa kulopoka kma malaya wa baaa kaona pombe
Sijaropoka naomba njoo na msimamo wa ligi ya Italy uone hao juve wameshinda mechi ngapi Serie A na wako nafasi ya ngapi. Ni timu ya kiwango cha kawaida tu usidanganyike ni jina. Na je unakataa Leicester city hakufungwa na arsenal?
 
Nyie endeleeni kujidanganya mi Man U nawasubiria tu jumapili niwalipue kamoja ka fasta.

Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
We endelea kujidanganya na beki zako kina lindalof...na hyo siku Kwa kuwa beki mbovu Maguire atakosekana...mtamuanzisha bwana Bailly na litachoma tena bao lingine...kumfanya awe na goli nyingi kumzidi Sancho
 
Utasikia et "tunaenda kuchukua CL kwa mara ya pili " labda CL ya buza kudadekii .....

Chelsea ni timu ya kawaida Sana ,Tena sanaa ,haijakutana na Moto wa city ,buyern ,psg ,Liverpool ......

Kwa nyie kenge nataman tukutane Tena CL hata robo final au semi final kabisa ...
 
Ni mazingira mawili tofauti, Chelsea ilishika nafasi ya sita ni sawa ila kuna kocha aliyesababisha mpaka Chelsea ifikie hapo. Kisha inafanyika mabadiliko ya benchi la ufundi anakuja T.T ambaye anaifanya Chelsea imalize nafasi ya nne. Tofauti na hali iliyokuwepo kwa Juventus, Allegri ameanza na timu kwanzia msimu huu unaanza na mpaka sasa bado ana struggle kuirudisha juve katika ubora na ndio maana kwenye msimamo anashika nafasi ya 8 kwa tunaofuatilia serie A tunaijua kuwa zama za Juventus zimeisha ila kwa wanaangalia uefa champions league peke yake wataona kama ni timu bora kwavile tu wamepata ushindi katika mechi nne za hatua ya makundi.
Acha kuhate Mzee....kisa Chelsea kamfunga juve goli 4 quickly mnajump kwenye conclusion Tu oooh mpinzani cjui yupo hovyo....lzm usifu na ubora WA Chelsea ya sasa..na data zinajieleza hata kwenye ligi ....sasa we unaleta story bwege cjui Leicester wabovu mara juve wabovu Acha kuhate mzee
 
Huu ndio ukweli, Juventus ni timu ya kawaida kwasasa ndio maana huko kwao Italy wanajikongoja tu kwa kushika nafasi ya nane. Ukicheza na timu iliyo kwenye form ukamfunga utapongezwa ila sio kwa kujisifu kuifunga juve wakati hata Sassuolo imeshamfunga juve.
 
Ni mazingira mawili tofauti, Chelsea ilishika nafasi ya sita ni sawa ila kuna kocha aliyesababisha mpaka Chelsea ifikie hapo. Kisha inafanyika mabadiliko ya benchi la ufundi anakuja T.T ambaye anaifanya Chelsea imalize nafasi ya nne. Tofauti na hali iliyokuwepo kwa Juventus, Allegri ameanza na timu kwanzia msimu huu unaanza na mpaka sasa bado ana struggle kuirudisha juve katika ubora na ndio maana kwenye msimamo anashika nafasi ya 8 kwa tunaofuatilia serie A tunaijua kuwa zama za Juventus zimeisha ila kwa wanaangalia uefa champions league peke yake wataona kama ni timu bora kwavile tu wamepata ushindi katika mechi nne za hatua ya makundi.
Wewe shabiki maandazi unajisahaulisha kwamba Chelsea ni bingwa wa ulaya, excuses kila sentence unatafuta faraja? tulimfunga bingwa wa Spain, England, bingwa wa kihistoria wa UEFA bado unaleta ujuaji hapa sijui Juventus haipo vizuri sasa omba manure wapangwe na hao Juventus ndio utajua ujui
 
Sijaropoka naomba njoo na msimamo wa ligi ya Italy uone hao juve wameshinda mechi ngapi Serie A na wako nafasi ya ngapi. Ni timu ya kiwango cha kawaida tu usidanganyike ni jina. Na je unakataa Leicester city hakufungwa na arsenal?
Kwa hyo mpka man u ndio timu ya kiwango kikubwa subili j2
 
Utasikia et "tunaenda kuchukua CL kwa mara ya pili " labda CL ya buza kudadekii .....

Chelsea ni timu ya kawaida Sana ,Tena sanaa ,haijakutana na Moto wa city ,buyern ,psg ,Liverpool ......

Kwa nyie kenge nataman tukutane Tena CL hata robo final au semi final kabisa ...
Pale bikra anaposimama mbele ya wanaume na kuanza kuelezea mambo ya chumbani, wewe ni bikra wa mashindano huna tofauti na sheriff,malmo etc.
 
Huu ndio ukweli, Juventus ni timu ya kawaida kwasasa ndio maana huko kwao Italy wanajikongoja tu kwa kushika nafasi ya nane. Ukicheza na timu iliyo kwenye form ukamfunga utapongezwa ila sio kwa kujisifu kuifunga juve wakati hata Sassuolo imeshamfunga juve.
Kwan wwtimu ambayo si ya kawaida kwa ssa timu gani ndio u.esema PSG
MAN CTY
MUNICH
ILA UMESAHAU HTA HAO PSG WA PATA TABU KUSHINDA
nimesema endelea kuvimba kichwa
 
Wewe shabiki maandazi unajisahaulisha kwamba Chelsea ni bingwa wa ulaya, excuses kila sentence unatafuta faraja? tulimfunga bingwa wa Spain, England, bingwa wa kihistoria wa UEFA bado unaleta ujuaji hapa sijui Juventus haipo vizuri sasa omba manure wapangwe na hao Juventus ndio utajua ujui

Chelsea bingwa wa ulaya msimu uliopita sio huu, msimu huu ndio bingwa anatafutwa. Mlimfunga bingwa wa Spain, England na bingwa wa kihistoria wa UEFA lini? Maana nakumbuka Chelsea imecheza na mshindi wa Europa league ambaye villareal na kushinda kwa penati baada ya kutoka sare moja moja. Kwa kutumia kigezo ambacho wewe umekitumia kwa kulinganisha na man u, je unasemaje baada ya man U kushinda mechi zote mbili dhidi ya villareal ndani ya dakika 90?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom