Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Kwani wakati mnacheza na man city mlifanyaje?
Tulipaki basi na kumtungua nusu fainali ya FA, EPL na fainali ya UEFA.

Kwani unateseka sana?

Vipi City asiyepaki basi yuko nafasi ya ngapi?

Mpira si kushambulia na kuucheza kila wakati bali unahitaji;

1. Techniques

2. Tactics

3. Possession

4. Consistency

5. Winning mentality

6. Team philosophy

7. Team working spirit.

8...................

Amka usingizini na heshimu Mabingwa wa Ulaya Chelsea FC 2020/2021, Man City bado inaugulia maumivu ya kipigo cha mechi 3 mfululizo.
 
We bwege kweli nasemea mechi iliyo chezwa tarehe 25/09/2021 mlitoka ngapi ngapi?
 
Povu liliokutoka linamaanisha jinsi gani unaendelea kuteseka na Man City yako.

Sikukuuliza kuwa City yuko nafasi ya ngapi pamoja na kupaki kwetu basi?

Pole sana Kijana, hii ndiyo dunia.

Si kila unachokitaka au kukipenda lazima kipatikane au kitimie kwa wakati wako.

Chelsea ni Mabingwa wa Ulaya 2020/2021 na tunaendelea kutesa....
 
tatzo hujibu swali
 
Nasikia Bosi Roman Abramovich anapanga kuitembelea Chelsea baada ya ban ya miaka mitatau
Nasikia tayari yuko London kutembelea ndugu zake
Je ina maana ban imeisha na sasa amepewa VISA ya kuingia Uingereza
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom