Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Tunahitaji kuwa na consistence , ukiangalia city ni kama washaamka, liverpool tusiwachukulie poa ni kama dark horse vile kwenye mbio za ubingwa , tunawachukulia poa ila bado wamo,
Uwepo wa salah ni x-factor, kwa sasa unauhakila salah anakupa 20+ league goals kila msim kitu kinachoweza mfanya asifikishe hizo goal ni majeruhi tu
 
Exclusive : Thomas Tuchel wants to install 8 Camera’s around Cobham in order to track player progress by video and give them immediate feedback, Chelsea have agreed with Tuchel and have applied for Planning Permission. ( Daily Mail )
He can analyse every bit of training session from different angles and heights, it will show everything the players do
Man on a mission 💣💙
 
Hivi striker kuflop huwa inatafsirikaje?
1. Unanunua striker anafunga magoli mengi na hambebi hata kikombe cha kahawa.

2. Unanunua striker anafunga magoli kiduchu na muhimu katika finali na mnabeba kombe.

hapo kati ya 1 na 2, yupi mchezaji flop? au wote ni flops.
Mfano mzuri Gianfranco zola pamoja na ufundi wa kuchezea mpira alikuwa nao na kupiga chenga wachezaji wengi lakini hakuwahi kubeba kombe lolote na hata kwenye history ya Chelsea hakumbukwi.
 
Mfano mzuri Gianfranco zola pamoja na ufundi wa kuchezea mpira alikuwa nao na kupiga chenga wachezaji wengi lakini hakuwahi kubeba kombe lolote na hata kwenye history ya Chelsea hakumbukwi.
acha kutudanganya mkuu, no. 25 chelsea pale haivaliwi kwa heshima ya zola
na supercup ya kwanza zola aliwapa chelsea mwaka 1998
 
Kwaniaba ya mashabiki wa EPL tunaomba msimamo wa ligi plz
 
Mpira ulimgonga mchezaji wa Chelsea kama sikosei alikua jorginho
Gabriel Jesus alikuwa ni mchezaji wa 5 kuucheza mpira kwa Man City alikuwa ni mchezaji wa 4. na kona haikupigwa kama kona waliamua kuucheza kwa kupasiana. That is typical open play football
 
Gabriel Jesus alikuwa ni mchezaji wa 5 kuucheza mpira kwa Man City alikuwa ni mchezaji wa 4. na kona haikupigwa kama kona waliamua kuucheza kwa kupasiana. That is typical open play football
Duh kwahyo haiondoi kuwa NI Kona Hata kama waliamua kucheza Kwa kupasiana?...mkuu open play goal linatokea endapo timu ilikuwa na possession ya mpira either kutoka Kwa kipa au waliokaba na kuumiliki tena na kuenda kufunga...Hilo la man city lilitokana na dead ball mpira wa Kona....nilimsikia Hadi na mchambuzi jim beglin akisema "Chelsea are yet to concede an open play goal" na akagusia goli la jesus pia lilitokana na kona ...kama aliamua kuudanganya ulimwengu WA soka basi sawa
 
Na kuna mtangazaji mwingine naye kasema Chelsea imefungwa goli la kwanza la open play, sijui naye kaudanganya ulimwengu. May be kwenye tafsiri ya mambo mengine kuna 50/50 kulingana na situation ya tukio
Unaweza kuwa sawa kwa maana ya buildup ya goli ilitokana na kona, lakini pia kulingana na situation kwamba mpira ulishachezwa inaweza kuwa imepoteza maana ya set piece
 
Tunapumzika baada ya jana kufanya mashambulizi ya kutosha kwenye jukwaa la liver kuku...

Jana tumewapelekea moto.
Nyie mashabiki wa Chelsea mnajaza severs za jf kwa kuandika pumba tu ...

Mchunguzwee !!!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom