Mangungo II
JF-Expert Member
- Jul 6, 2012
- 18,174
- 26,911
HahahahahTimu ya kifala Sana
#ktbffh
Tulia dawa ikuingie
Sisi ndio matajiri wa London
HahahahahTimu ya kifala Sana
Hata Aston villa wapo kumbeONYO kama timu yako haipo kwenye hii wall tafadhar usije kwenye huu uzi, unajidhalilisha kuja kupiga kelele kwa wakubwa zako View attachment 1965094
Ahahahha unamatatizo, bolingoli anaHold pale mbele na chances creation za kutosha.Lukaku mmepigwa aisee
Newcastle
PSG
Man City
Leipzig
Salzburg
Juventus
Chelsea
LA Galaxy
ArsenalSio aston villa peke yake hata Nottingham Forrest yupo na kombe zake 2Hata Aston villa wapo kumbe
Man cty kwa hyo km arsenalSio aston villa peke yake hata Nottingham Forrest yupo na kombe zake 2
Hao Newcastle wanashindwa nn ssa kuwekezaThe richest clubs in the world:
400 billionNewcastle
260 billionPSG
25 billionMan City
18.5 billionLeipzig
18.5 billionSalzburg
16.5 billionJuventus
12 billionChelsea
10 billionLA Galaxy
8 billionArsenal
Hujakosea kabisa hao man city na arsenal sidhani kama hata europa walishawahi kubebaMan cty kwa hyo km arsenal
Ndo kwanza timu imenunuliwa kinachofuatwa ni mipango mambo hayaendi kwa haraka hivyoHao Newcastle wanashindwa nn ssa kuwekeza
Newcastle wamekuwa mabillionea siku ya leo ....Hao Newcastle wanashindwa nn ssa kuwekeza
Leo ndio wamechukua hawataweza kufanya vitu vikubwa timu ushawishi hainaNewcastle wamekuwa mabillionea siku ya leo ....
Waarabu wamichukua ,soon Newcastle inaenda kuwa hatari aiseee
Subili pesa zianze kumwagika ndio utajua Kama hakuna ushawishiiLeo ndio wamechukua hawataweza kufanya vitu vikubwa timu ushawishi haina



Na ww kapigwe km unaumiaLukaku mmepigwa mzeeee
Katupia goli safi sana dhidi ya France, madogo ya Chelsea inabidi yajilaumu na kujifunza makosa yao kushindwa kumchezesha Lukaku.Na ww kapigwe km unaumia
Kichwa cha habari haiendani na ukweliThe richest clubs in the world:
400 billionNewcastle
260 billionPSG
25 billionMan City
18.5 billionLeipzig
18.5 billionSalzburg
16.5 billionJuventus
12 billionChelsea
10 billionLA Galaxy
8 billionArsenal