Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Erling Haaland amekataa mkataba mpya na Borussia Dortmund
Taarifa zinadai kuwa mchezaji huyo mshambualiaji kutoka Norway amedai anaamini muda wake wa kuwa mchezaji wa Dortmund umefikia ukingoni na sasa anatazamia kucheza Barnabeu na Real Madrid hata kama Bayern, Chelsea, Barcelona, Man City na Man United wamekuwa wakimmezea mate
Tukumbuke kuwa Borussia Dortmund walikataa ofa mbalimbali ikiwepo ya Euro kama 150M kwa mchezaji huyo ambaye mkataba wake unaisha mwaka 2024 na kuanzia mwakani anaweza kuondoka kwaPaundi mil 68 tu
 
Kama new castle uwekezaji wake utaleta matunda

Pretenders wa ligi wote watapotea

Asernal
Totenham
Leicester city

Moja lazima ashushwe down kabisa

City hela zinawabeba la sivyo hawastahili kuwepo hapo
 
Chelsea have confirmed that Kante has returned to training. #CFC
20211008_201859.jpg
 
N’Golo Kanté, Jorginho, Mason Mount, César Azpilicueta and Romelu Lukaku have all been nominated the 2021 Ballon d’Or!

Chelsea have the joint most nominees of any club in Europe. #BallonDor
 
Kama new castle uwekezaji wake utaleta matunda

Pretenders wa ligi wote watapotea

Asernal
Totenham
Leicester city

Moja lazima ashushwe down kabisa

City hela zinawabeba la sivyo hawastahili kuwepo hapo
Chelsea mna nini mpaka msitoke top 4 ,mna nini cha ziada nyie cheliwowo,nyie ni kina nani hasa ,mna kitu gani kipya kwenye kikosi chenu ,mna nini nyie bata mpaka top 4 msitolewe na Newcastle dadekiii zako
 
Chelsea ni klabu kubwa kijana fuatilia ujue

Tumewekeza pale long time na tunalipwa kwa uwekezaji wetu

Shit mntafiikia hizi levo Hadi mwaka 2030 huko

Hao nyukasto watakuwa pretenders kwa muda until waoneshe consistency

Katu Chelsea na man shit hawaweze kuwa mzani mmoja

Nyie ni underdogs

Mpaka mshinde uefa ndio tutaelewana
 
Rudiger, Silva na Mendy kutowekwa kwenye hiyo list ni ukatili na uonevu, sijui hao wanatumia vigezo gani

On the other hand, Mount naona kaanza career yake vizuri sana, mwanga wake unag'aa mapema. Atafika mbali asipozimia moyo
 
Chelsea ni klabu kubwa kijana fuatilia ujue

Tumewekeza pale long time na tunalipwa kwa uwekezaji wetu

Shit mntafiikia hizi levo Hadi mwaka 2030 huko

Hao nyukasto watakuwa pretenders kwa muda until waoneshe consistency

Katu Chelsea na man shit hawaweze kuwa mzani mmoja

Nyie ni underdogs

Mpaka mshinde uefa ndio tutaelewana
Newcastle kununuliwa n tajiri sio lazima wafanye vizuri
Itategemea sana na mfumo wataoadapt pia na vision ya owners
Chelsea kilichowasaidia ni structure yake ya uongozi na viongozi wenye maono na kufuatilia maono na kuyaishi
Ziko timu zenye kum8ilikiwa na matajiri lakini zimeshindwa kutoboa
 
Mfano QPR owner wake ni tajiri haswa
 
Chelsea mna nini mpaka msitoke top 4 ,mna nini cha ziada nyie cheliwowo,nyie ni kina nani hasa ,mna kitu gani kipya kwenye kikosi chenu ,mna nini nyie bata mpaka top 4 msitolewe na Newcastle dadekiii zako
Cheliwowo ndo maana nikahamia Liverpool
 
Newcastle kununuliwa n tajiri sio lazima wafanye vizuri
Itategemea sana na mfumo wataoadapt pia na vision ya owners
Chelsea kilichowasaidia ni structure yake ya uongozi na viongozi wenye maono na kufuatilia maono na kuyaishi
Ziko timu zenye kum8ilikiwa na matajiri lakini zimeshindwa kutoboa
Mfano asenane
 
Hivi makocha huwa wanaombanaga ushauri?

Mfano Conte anavyosema Chelsea hatujui jinsi ya kumtumia Lukaku, na Lukaku akiwa timu ya Taifa ametoa kauli ya kuunga mkono maneno ya Conte

Sasa Inawezekana TT akamwomba ushauri CONTE jinsi ya kumtumia Lukaku?

Au kumwomba Ushauri kocha mwenzako ni kujidhalilisha bora ufe na tai shingoni?

Au TT anatakiwa akae aangalie video clips za Lukaku akiwa INTER alikuwa anachezaje kule mbele na anafunga vipi?
Asiende mbali, kama Lukaku kaunga mkono hoja ina maana anajua, yeye amshauri TT
 
Chilwell moto, arudi kwenye form ya kufunga baada ya kufunga bao dhidi ya Southampton na kuifungia Uingereza jana dhidi ya Andorra
 
Lukaku ana tatizo la misuli, karudishwa nyumbani kupumzika kabla ya msimu wa ligi kuendelea jmosi ijayo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom