Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

WAPENZI WA SIMBA (NA WANA SOKA WOTE) AMBAO MKO MBALI NA TV ZENU/MABANDA UMIZA, karibuni niwapatie app ya azam tv mjionee soccer live na vipindi vingine vingine from azam tv channels.

Ni rahisi kujiunga

Gharama ni Tshs elfu 6000.

Ukijiunga leo haujiungi tena wala kulipia tena.
 
Mechi ya leo inatakiwa tushinde ili tujiweke sehemu salama
 
WAPENZI WA SIMBA (NA WANA SOKA WOTE) AMBAO MKO MBALI NA TV ZENU/MABANDA UMIZA, karibuni niwapatie app ya azam tv mjionee soccer live na vipindi vingine vingine from azam tv channels.

Ni rahisi kujiunga

Gharama ni Tshs elfu 6000.

Ukijiunga leo haujiungi tena wala kulipia tena.
kama haitumii MB MB hapo sawa
 
Dah! Mnyama Didier Drogba costa asingeweza kufikia level za Didier Chelsea.
Drogba ilikuwa akipata mpira ndani ya 18 unahesabu.
Didier Drogba The Legend of Chelsea.
Sijakuambia yeye angefika level za Drogba ila nachomaanisha Costa angebaki angetusaidia Sana.
 
Kwanza kabisa nikupe pole na nikuhakikishie kwamba Madrid hii awana uwezo wa kuifunga Chelsea ya Thomas Tuchel..... Save hii alafu tukutane baada ya DK 90
Mkimfunga Madrid navua nguo zote natembea utupu kutoka dar mpaka morogoro ...

Hii takataka Chelsea ndio imfunge Madrid kudadddddddeki ..!
 
Mkimfunga Madrid navua nguo zote natembea utupu kutoka dar mpaka morogoro ...

Hii takataka Chelsea ndio imfunge Madrid kudadddddddeki ..!

Pain Killer acha ujuaji mpira unachezwa ground ujue. Muda wako unahesabika wa kupita pita humu uchi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom