
UEFA AWARDS CEREMONY:
---------------------------------------------------
Sherehe za ugawaji wa tuzo za UEFA msimu wa 2020/2021 kufanyika tarehe 26 August, 2021, pamoja na ugawaji wa tuzo, siku hiyo kutafanyika na droo ya UEFA kwa msimu ujao.
Tuzo ambazo zitatolewa ni;

Mchezaji bora UEFA wa mwaka wa kiume/UEFA men's player of the year.

Mchezaji bora wa UEFA wa mwaka wa kike/UEFA Women's player of the year.

Kocha bora UEFA wa mwaka wa kiume/UEFA men's coach of the year.

Kocha bora UEFA wa mwaka wa kike/UEFA women's coach of the year.

Golikipa bora wa msimu 2020/2021 UEFA Champions League/Goalkeeper of the 2020/2021 UEFA Champions League season.

Mlinzi bora wa msimu 2020/2021 UEFA Champions League/ Defender of the 2020/2021 UEFA Champions League season.

Kiungo bora wa msimu 2020/2021 UEFA Champions League / Midfielder of the 2020/2021 UEFA Champions League.

Mshambuliaji bora wa msimu 2020/2021 UEFA Champions League/Forward of the 2020/2021 UEFA Champions League.

Goalkipa bora wa msimu UEFA Women'S Champions League.

Mlinzi bora wa msimu UEFA Women's Champions League.

Kiungo bora wa msimu UEFA women's Champions League.

Mshambuliaji bora wa msimu UEFA Women's Champions League .
Hapa tunakomba zote tunamwachia Haaland ya ushambuliaji bora.