OllaChuga Oc
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 21,961
- 25,313
Welcome to the Bridge Lukaku.
#CFC
#CFC
Watu wanashindwa kuelewa sisi tunashida na strike anaye lijua goli na lukaku sifa hizo anazo Chelsea wamekua wakitengeneza nafasi nyingi sana lakini wafungaji walioko wamekua na utoto mwingi sana na wakati mwingine kutolewa kwenye njia kiulaini lukaku ni drogba ajaePesa inaweza kuwa kubwa ila now tuko katika zama ambazo mchezaj kununuliwa 100 nikawaida hasahasa pale tim inapojua kuwa mnashida na mchezaj wa eneo fulan
Yah naelewa ila lukaku kwa hiyo pesa hapana aisee, namuombea aje na mambo mazuri tuu aisee mana hata Kai nilikuwa simkubali ila sasa namuelewaPesa inaweza kuwa kubwa ila now tuko katika zama ambazo mchezaj kununuliwa 100 nikawaida hasahasa pale tim inapojua kuwa mnashida na mchezaj wa eneo fulan
This is our city ,money talk ,..
Sio nyie mafala ,hamjui mnataka nini ,halaand kawashinda ,lukaku kawashinda ,sijui mnataka nini..
Timu masikini tu ,kaeni pembeni mpira umewashinda ,ubahili tu ,mmekaa kiboyaboya utafikili hayajachukua CL ,falaa sana hii timu
Watamwelewa tu atakapochukua kiatu cha mfungaji bora msimu ujaoHivi inakuaje mtu unambeza lukaku mtu mwenye 110+ goals katika premier league katika misim michache aliyocheza
Na msimu huu mtalambishwa hadi dududumeThis is our city ,money talk ,..
Sio nyie mafala ,hamjui mnataka nini ,halaand kawashinda ,lukaku kawashinda ,sijui mnataka nini..
Timu masikini tu ,kaeni pembeni mpira umewashinda ,ubahili tu ,mmekaa kiboyaboya utafikili hayajachukua CL ,falaa sana hii timu
Ndo Nani huyo?Ivan Toney alikuwa chaguo sahihi kabisa.
Soon utanyamaza na kujutia maneno yako..!WTF, Lukaku wa nn Chelsea. Pumbavu sana bodi ya Chelsea, inamaana mmekosa straika hii dunia mpaka mtuletee hilo takataka.!!? Dah! Imeniuma sana
My Chelsea kweli tunatoa hela yote hiyo kwa dude kama lile kweli.!? Ata siamini, si kheri tungemchukua Vardy.
Pale tumepigwa tena tumepigwa haswa
Yule ni mchezaji au mbeba vyuma.Chelsea wala haihitaji mchezaji kaliba ya Lukaku, naombea sana aje darajani. Siku akiflop nitaomba wote mnamsifia muombe radhi.
Yule ni mcheza ragby si mcheza mpira.
Utatumia nguvu aisee [emoji23] anaonekana Hana nyota ya kupendwaHivi inakuaje mtu unambeza lukaku mtu mwenye 110+ goals katika premier league katika misim michache aliyocheza
Wewe toka humu kapambane na katimu kako huko, tuache tupambane na wa kwetu, Lukaku tukiwa tumepigwa wewe inakuhusu niniwakuu kwa hili pipa mmeloleta ,haliendani kabisa na uchezaji wenu ..
Hivi huwa mnaangalia uchezaji wa Chelsea ,na lukaku alivo ?...
Mbona mnajichetua wakuuu ,
Lukaku mmepigwa ,nasema tena lukaku mmepigwa ,..
Game 5 za mwanzo mtakuwa mmeelewa nachokisema ...
We mropokaji mmoja Tu[emoji23] ...Lukaku anafit style zote striker mmoja, strikers wawili au yenye mafowadi watatu....ngoja akuumbue Tu n suala l mudawakuu kwa hili pipa mmeloleta ,haliendani kabisa na uchezaji wenu ..
Hivi huwa mnaangalia uchezaji wa Chelsea ,na lukaku alivo ?...
Mbona mnajichetua wakuuu ,
Lukaku mmepigwa ,nasema tena lukaku mmepigwa ,..
Game 5 za mwanzo mtakuwa mmeelewa nachokisema ...