Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Breaking.. Chelsea imeingia kwenye mbio za kuwania saini ya Messi
 
Cheltakoo ni bora mbaki na Tammy Abraham kuliko huyo Lukamavi.
 
Kumbe Abramovich na MOU walikuwa wamlete Messi darajani kwa siri mwaka 2014

Messi once "secretly" agreed to join Chelsea for £208million back in 2014, but the move fell through after his dad and agent Jorge Messi found out about these informal talks.

Sky Sports' Gianluca Di Marzio disclosed that Roman Abramovich and co. agreed to give Messi an annual wage of $65 million (£46.7million) plus 70% of image rights, with the Argentine keen on the deal.

However, it crashed and burned after Messi's father was made aware of the plans by an intermediary who was angry he was squeezed out of the negotiations.

Jose Mourinho started his second stint at Stamford Bridge when these proposed talks occurred in private.
 
Klabu pekee ambayo Messi anaweza kuajiriwa ni Chelsea
Kwa nini?

  1. PSG wako kwenye process ya kupunguza mishahara ya wachezaji na wafanyakazi wengine kwa sababu inayokaribiana na ile ya Barcelona kwa hiyo PSG hawataweza kabisa kumuajiri Messi
  2. Man City wameshaingia gharama ya kumleta Grealish Etihad na bado wanamfukuzia Kane, huo mzigo wa matumizi City hawataweza na wakilazimisha FA watawapelekea Auditors. Pep kashasema hawatamsajili Messi
  3. Chelsea wakiacha dili la Lukaku FFP hawataweza kuwaingiaza kwenye uvujaji wa pesa. Mimi naamini Chelsea wakicheza karata zao vizuri Messi anaingia darajani kama alivyokaribia kuingia mwaka 2014
 
1628283981190.png
 
Stop to give us Fake hopes brother
 
Jambo ambalo hufahamu ni kuwa PSG iko kwenye hatua za mwisho kumchukua Messi
Klabu pekee ambayo Messi anaweza kuajiriwa ni Chelsea
Kwa nini?

  1. PSG wako kwenye process ya kupunguza mishahara ya wachezaji na wafanyakazi wengine kwa sababu inayokaribiana na ile ya Barcelona kwa hiyo PSG hawataweza kabisa kumuajiri Messi
  2. Man City wameshaingia gharama ya kumleta Grealish Etihad na bado wanamfukuzia Kane, huo mzigo wa matumizi City hawataweza na wakilazimisha FA watawapelekea Auditors. Pep kashasema hawatamsajili Messi
  3. Chelsea wakiacha dili la Lukaku FFP hawataweza kuwaingiaza kwenye uvujaji wa pesa. Mimi naamini Chelsea wakicheza karata zao vizuri Messi anaingia darajani kama alivyokaribia kuingia mwaka 2014
 
♻️UEFA AWARDS CEREMONY:
---------------------------------------------------
Sherehe za ugawaji wa tuzo za UEFA msimu wa 2020/2021 kufanyika tarehe 26 August, 2021, pamoja na ugawaji wa tuzo, siku hiyo kutafanyika na droo ya UEFA kwa msimu ujao.

Tuzo ambazo zitatolewa ni;

🏅Mchezaji bora UEFA wa mwaka wa kiume/UEFA men's player of the year.
🏅Mchezaji bora wa UEFA wa mwaka wa kike/UEFA Women's player of the year.
🏅Kocha bora UEFA wa mwaka wa kiume/UEFA men's coach of the year.
🏅Kocha bora UEFA wa mwaka wa kike/UEFA women's coach of the year.

🏅Golikipa bora wa msimu 2020/2021 UEFA Champions League/Goalkeeper of the 2020/2021 UEFA Champions League season.

🏅Mlinzi bora wa msimu 2020/2021 UEFA Champions League/ Defender of the 2020/2021 UEFA Champions League season.
🏅Kiungo bora wa msimu 2020/2021 UEFA Champions League / Midfielder of the 2020/2021 UEFA Champions League.
🏅Mshambuliaji bora wa msimu 2020/2021 UEFA Champions League/Forward of the 2020/2021 UEFA Champions League.

🥉Goalkipa bora wa msimu UEFA Women'S Champions League.
🥉Mlinzi bora wa msimu UEFA Women's Champions League.
🥉Kiungo bora wa msimu UEFA women's Champions League.
🥉Mshambuliaji bora wa msimu UEFA Women's Champions League .

Hapa tunakomba zote tunamwachia Haaland ya ushambuliaji bora.
 
---------- WERNER ------ LUKAKU ----------

CHILWELL --- KANTE -- MOUNT -- AZIPI

------------------ JOGINHO ------------------

--------RUDGER --- THIAGO ---- KOUNDE ---
Hilo la Jules Kounde sidhani kama litafanikiwa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom