Southern Highland
JF-Expert Member
- Mar 22, 2017
- 16,080
- 27,507
Backline mbovu. Defense imechoka, buildup hamna ni juhudi ya wachezaji tu.
Hapana mkuuu ngoja tuone hata madilisha hata ma 2 maana bado tuna watu beki yetu mbovu mkuuuAlonso huyu aliwezaje kuijenga ile Leverkusen hatari? Au alikutana na wachezaji. Mbona sisi tuna wachezaji wazuri tu
Nilikuambia subiri novemba 8 sasa umekubali nilichokuwa nakuelewesha?Haujanielewa, mi nimemkatalia huyo dogo kuwa mpira haupimwi kwa hivyo, ndio mana nikamtolea mfano wa Brighton. Kuwa ingekua ni hivyo kwa kua Brighton kamfunga Arsenal 3 na Arsenal kamfunga Chelsea na ingekua chelsea haijacheza na Brighton basii mngeanza kusema itafungwa 10. Mpira haupimwi hivyo.
Kwa hiyo kwa kuwa Sunderland alimfunga Chelsea msimu ulioisha basi ndio tiketi atashinda na msimu huu?
Brighton msimu ulioisha walimfunga Chelsea Goli tatu Home and Away.
Mkuuu ase8 wana morari tu hakuna time kikundi cha wachawi tuSasa kocha kafukuzwa Madrid. Timu ina kila kitu na ipo ligi rojo
Morari hua inaisha. Kama tangu 2020 ilikua morari basi hili ni balaaMkuuu ase8 wana morari tu hakuna time kikundi cha wachawi tu
Alonso kocha wa kubahatishaSasa kocha kafukuzwa Madrid. Timu ina kila kitu na ipo ligi rojo