Binafsi huyu kipa nimeshamchoka nadhani Marcus Bettinelli atachukua nafasi yakeKepa ameingia dakika 2 tuu goal
Binafsi huyu kipa nimeshamchoka nadhani Marcus Bettinelli atachukua nafasi yakeKepa ameingia dakika 2 tuu goal

Yani mm tangu kipindi cha sarri nilikuwa simkubali KepaKepa ameingia dakika 2 tuu goal
Kepa hajuagi kunusa hatari. Ni kipa mzuri ila hana uwezo wa kunusa hatari kama mendyYani mm tangu kipindi cha sarri nilikuwa simkubali Kepa
Arsenal ndiko kuna mfaaaAbraham ni takataka sana, bora aende kwa matakataka wenzake huko.
Chelsea imecheza mpira mzuri sana na wachezaji wako fit, unaona muundo wa team ikikosa mpira Nini inafanya na wakiwa na mpira Wana move fast shida moja tu sio makatili kwenye goal tunakosa magoal mengi kama tungetumia vizuri chances tulikuwa tunaondoka na ushindi wa si ya goal 5.Kepa ndio aliwapa goal la bure Arsenal baada ya muda mchache tu kuingiaKwa waliongalia hiyo mechi, je wachezaji wako fit kimwili tayari kwa UEFA super cup?
Shida hiki kitimu kidogo kinashindwa kukuza players, ila Huyu akija Gunners anakuwa Top Scorer, pale alicheza Thierry Henry kwa hiyo akifika lazima avae viatu vyake atajifunza kupitia Auba.Arsenal ndiko kuna mfaaa
Shida hiki kitimu kidogo kinashindwa kukuza players, ila Huyu akija Gunners anakuwa Top Scorer, pale alicheza Thierry Henry kwa hiyo akifika lazima avae viatu vyake atajifunza kupitia Auba.
🦯
🦯
🦯 huyo happ ssa mpokeeenSasa tutawauziaje wakati hata pesa hamna.? Inabidi tuwasaidie tuu ili angalau mpate wachezaji wenye viwango japokuwa kwetu wanakuwa wamestaafuMleteni bure kama Luiz na willian nyie wachezji wenu ni for free, vinginevyo bora tumchukue Lautaro.![]()
Arsenal ndio hiyo inajifia, imebaki kuambulia matakataka ya mabwana zaoShida hiki kitimu kidogo kinashindwa kukuza players, ila Huyu akija Gunners anakuwa Top Scorer, pale alicheza Thierry Henry kwa hiyo akifika lazima avae viatu vyake atajifunza kupitia Auba.
we Cheltako bwana ako nani?Arsenal ndio hiyo inajifia, imebaki kuambulia matakataka ya mabwana zao
Afu Arsena kufa ni ndoto, hii ni taasisi ligi hatujabeba toka 2004, Uefa toka 2016 hatujaenda lkn wauni tunadunda, jaribu wewe kitimu cha uchochorini tukuzike mazima.Arsenal ndio hiyo inajifia, imebaki kuambulia matakataka ya mabwana zao