Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

This is our city ,money talk ,..

Sio nyie mafala ,hamjui mnataka nini ,halaand kawashinda ,lukaku kawashinda ,sijui mnataka nini..

Timu masikini tu ,kaeni pembeni mpira umewashinda ,ubahili tu ,mmekaa kiboyaboya utafikili hayajachukua CL ,falaa sana hii timu
We mchimbachumvi lukaku tushamvuta una shombo ingine
 
Nimetoka kuangalia highlights za Lukaku YouTube yaani ni Abraham aliye na misuli& uzoefu tu, Apart from miguvu sioni technical ability ya kumfanya auzwe kwa more than 95£ mil na kwa jinsi alivyo akifikisha 30 ndio atakuwa liability sasa sijui kwa nini tunatumia pesa nyingi kununua mchezaji ambae misimu mitatu hafikishi akiwa kwenye peak
 
Eti Abraham aliye na misuli

Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
 
Wanaosema amefeli waache wamuone Akifaulu Stamford Bridge na kuwania kiatu cha ufungaji bora
 
Uchezaji wa lukaku sioni ukifit Chelsea ...

Mnaenda kupigwa kweupe

Lukaku mnapigwaaa
Na likikosi lako la mabilioni wauni wanapiga palepale kwenye mshono, naapa bado ligi haijaanza
Screenshot_20210807-211106_Instagram.jpg
 
Chelsea wala haihitaji mchezaji kaliba ya Lukaku, naombea sana aje darajani. Siku akiflop nitaomba wote mnamsifia muombe radhi.
Yule ni mcheza ragby si mcheza mpira.
 
WTF, Lukaku wa nn Chelsea. Pumbavu sana bodi ya Chelsea, inamaana mmekosa straika hii dunia mpaka mtuletee hilo takataka.!!? Dah! Imeniuma sana

My Chelsea kweli tunatoa hela yote hiyo kwa dude kama lile kweli.!? Ata siamini, si kheri tungemchukua Vardy.

Pale tumepigwa tena tumepigwa haswa
 
Mzee wa Ivan Toney upo
 
Nimetoka kuangalia highlights za Lukaku YouTube yaani ni Abraham aliye na misuli& uzoefu tu, Apart from miguvu sioni technical ability ya kumfanya auzwe kwa more than 95£ mil na kwa jinsi alivyo akifikisha 30 ndio atakuwa liability sasa sijui kwa nini tunatumia pesa nyingi kununua mchezaji ambae misimu mitatu hafikishi akiwa kwenye peak
Mzee wa Yutub, itakumaliza yutub. Sasa anakuja darajani, mfuatilie live achana na yutub yenye kubagua
 
Lukaku sawa ila sio kwa pesa hiyo pia mm sio shabiki sana wa Lukaku ila ngoja tuone atatupa nini uwanjani.
 
Lukaku mmepigwa wazee wa chelwowo hahaha
Nimetoka kuangalia highlights za Lukaku YouTube yaani ni Abraham aliye na misuli& uzoefu tu, Apart from miguvu sioni technical ability ya kumfanya auzwe kwa more than 95£ mil na kwa jinsi alivyo akifikisha 30 ndio atakuwa liability sasa sijui kwa nini tunatumia pesa nyingi kununua mchezaji ambae misimu mitatu hafikishi akiwa kwenye peak
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom