Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Copy n paste.
If Romano Fabrizio tells me my wife is pregnant, I’ll believe him without doing pregnancy test

Kwamba huyu jamaa mambo yake kweli kwa 99%
Liverpool kwa hali inayoendelea kwenye club yetu naogopa sana. Tutashinsana vp na city united na nyie.
Kesho messi ataongea na waandishi wa habari na anaenda kufanya maamuzi magumu. Msishangae akija anfild.
Mmejiandaa vizuri msimu huu mnaweza mkapa top 4.
Munapesa ya kumlipa?
Huyo anatimkia zake Marekani.
 
WTF, Lukaku wa nn Chelsea. Pumbavu sana bodi ya Chelsea, inamaana mmekosa straika hii dunia mpaka mtuletee hilo takataka.!!? Dah! Imeniuma sana

My Chelsea kweli tunatoa hela yote hiyo kwa dude kama lile kweli.!? Ata siamini, si kheri tungemchukua Vardy.

Pale tumepigwa tena tumepigwa haswa
Hamjapigwa haswaa, mumepigwa miti.
 
Watu wanashindwa kuelewa sisi tunashida na strike anaye lijua goli na lukaku sifa hizo anazo Chelsea wamekua wakitengeneza nafasi nyingi sana lakini wafungaji walioko wamekua na utoto mwingi sana na wakati mwingine kutolewa kwenye njia kiulaini lukaku ni drogba ajae
Usimfananishe Drogba na hicho kiloba cha maharage.
 
Messi naye anafanya Medical Checkup leo au kesho katika jiji la Paris
Kashaaga Barcelona kwa machozi kupitia live press conference aliyofanya leo
 
Hatutawasamehe bure hawa ndugu zetu wanaosusia usajili wa Lukaku
Mechi kumi tu za Lukaku lazima kuna mashabiki humu watachoma nyama ya kuomba msamaha
Kwa wale wa Arusha kuna Muriet Mahakama ya Nyama choma
Kwa wale wa Dar pendekeza eneo
Na miji mingine hivyo hivyo
Tukumbushane baada ya mechi dhidi ya Newcastle, Burnely, Leicester city au Manyumbu United
Ikiwa Lukaku hajafunga goli angalao 8 sis tunaounga usajili huu tutawachomea nyama hao ndg zetu wenye hisia tofauti
Ila kama Lukaku atakuwa amefunga angalau goli 8 kwenda juu wao itabidi watuchomee nyama
Ushauri huu unahusika kwa mechi 10 alizocheza Lukaku kwa kuanza
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom